Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

Kujiajiri Kuna changamoto nyingi kuliko kuajiriwa...wewe angalia hata maprofessor wengi wa TZ wanavyogombania vyeo huko siasani
Unafikiri hawajui Kuna kujiajiri??
Mie kilichonishinda kwenye kujiajiri ni ushirikina tu mkuu....Mambo ya kwenda kwa sangoma kuchanjwa chale za makalio siyawezi kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Namkumbuka rafikk yangu Alie nifundisha nidhamu ya kujiajiri huyu mwamba siku nyingine anafunga ofisi saa 6 usiku na anaamka saa 12 kamili ni kazi kazi, nilipiga nae kazi muda mfupi lakin nikawa nawaonea wivu walio ajiriwa wanapata muda wa kuinjoy na familia ila sisi wajuba bila kujinyima uhuru hakuna kitu tunaingiza...
Hivyo naunga hoja kuwa kujiajiri siyo kuwa huru la sivyo biashara itakushinda
 
Chochote kinataka self discipline eg. Hata kula
 
Ni sheedah yaan hasa mishe ziyumbe kdgo
 

Ni kweli, ila kujiajiri kuna uwezo, if you do more it will pay more and if smart, eventually hautakuwa busy maana watu watakuwa wanakufanyia and so less work!

Do not challenge, I speak from experience!
 
Nina uzoefu so sio propaganda, mara ya kwanza is very consuming but as time goes I nashuka!

E:g Mimi naweza Anza kazi saa 4 usiku mpaka 8, then nalala, Kesho naamka saa 5, then free, mfanyakazi hayupo flexible!

Do not challenge, I speak from experience!
Mbona kama vile umejihami na hili neno Do not challenge katika ile comment yako number 69?

Au ninaonekama kama vile ni mtu mwenye mentality ya kupenda kubishana bishana sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…