Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #161
Sawa mkuu.Madini haya.
[emoji23]Sawa kaka mi leo mwenyewe nimeamua kulala tu hapa sijaenda hata shambani, na kuna kazi ya kupalilia, nitaendelea nayo kesho bwana.
Wewe ndio mimi,kuna kipindi ,mwaka jana nilipata hasara kubwa sana ilibaki kidogo nishikwe na depression, nikaanza hata kuwaza wenzangu walioajiriwa pengine wana amani kuliko mimi, japo sasa hivi nimerudi vizuri
Asilimia kubwa ya waajiriwa wengi wa kibongo mishahara yao ni midogo unakuta mtu anafanya kazi analipwa laki nne ana familia, kapanga, bado wazazi wanamtegemea huo mshahara utatosha vipi? Ndo mwisho unaishia kulipa madeni tu.Mkuu, kutosha kwa mshahara inazingatia na kiwango cha mshahara wenyewe na matumizi ya mtu. Kamwe usiisemee nafsi ya mtu mwingine.
Hii nakazia kabisa!Asilimia kubwa ya waajiriwa wengi wa kibongo mishahara yao ni midogo unakuta mtu anafanya kazi analipwa laki nne ana familia, kapanga, bado wazazi wanamtegemea huo mshahara utatosha vipi? Ndo mwisho unaishia kulipa madeni tu.
Ukweli ni Kwamba watu wanaenda kazini lakini siyo Kwamba wanapenda kwenda ..wengi ukiwauliza wanasema kweli kabisa, ajira ni utumwa. Ni heri upate stress za biashara ukiwa positive mind unatoboa kuliko stress za ajira. Muda wote unawaza kutimuliwa...
Kabisa madam, kutoboa hasa hapa bongo kupitia ajira ni uwongo..Hii nakazia kabisa!
Kuajiriwa ni unajitakia umasikini wa kutupwa!
Tena huo umasikini unauona ule paleee[emoji117]
kutoboa unamaanisha nini? Maana nawajua watu wengi tu, wameajiriwa hawana miaka hata 10 kazini, wamejenga na wana usafiri, hii haimaanishi kuwa hakuna ambao wanasota, Lakini pia nawajua wengine waliaojiajiri ambao wanasota zaidi pia,Kabisa madam, kutoboa hasa hapa bongo kupitia ajira ni uwongo..
Asilimia kubwa hii uliifanyia reseach lini mkuu? Mkuu, usipende kubeba story za kuzisikia kwa watu kisha ukazifanya kuwa ni facts...Asilimia kubwa ya waajiriwa wengi wa kibongo mishahara yao ni midogo
Kweli kabisa dadaKwa hio wafanyakazi wote hawajajenga?.
Tuheshimu shughuli za watu jmn
Na waliotoboa je?Kabisa madam, kutoboa hasa hapa bongo kupitia ajira ni uwongo..
Sio kweli.Kuna watumishi waliotoboa.Hii nakazia kabisa!
Kuajiriwa ni unajitakia umasikini wa kutupwa!
Tena huo umasikini unauona ule paleee[emoji117]
Hao labda waliiba. Ila kiukweli khali zao ni mbaya.Sio kweli.Kuna watumishi waliotoboa.
Asilimia kubwa hii uliifanyia reseach lini mkuu? Mkuu, usipende kubeba story za kuzisikia kwa watu kisha ukazifanya kuwa ni facts...
Na kweli kila mtu wa upande wowote anaweza akafanikiwaHakika upo sahihi dada. Mutual respect ni jambo muhimi sana.
Unatuaminisha watumishi wote waliojenga ni wezi?.😅Hao labda waliiba. Ila kiukweli khali zao ni mbaya.
Muwe mnasema 'baadhi' ya ajiraKabisa madam, kutoboa hasa hapa bongo kupitia ajira ni uwongo..
Thank youkutoboa unamaanisha nini? Maana nawajua watu wengi tu, wameajiriwa hawana miaka hata 10 kazini, wamejenga na wana usafiri, hii haimaanishi kuwa hakuna ambao wanasota, Lakini pia nawajua wengine waliaojiajiri ambao wanasota zaidi pia,
Mambo hayapo black and white kama manvyotaka kuifanya kama ligi ya Simba na Yanga
Kuajiriwa inategemea umeajiriwa wapi na huko kujiajiri inategemea umejiajiri kwenye nini na mtaji wako ni kiasi gani
Hivi kipimo cha kutoboa ni kipi?kutoboa unamaanisha nini? Maana nawajua watu wengi tu, wameajiriwa hawana miaka hata 10 kazini, wamejenga na wana usafiri, hii haimaanishi kuwa hakuna ambao wanasota, Lakini pia nawajua wengine waliaojiajiri ambao wanasota zaidi pia,
Mambo hayapo black and white kama manvyotaka kuifanya kama ligi ya Simba na Yanga
Kuajiriwa inategemea umeajiriwa wapi na huko kujiajiri inategemea umejiajiri kwenye nini na mtaji wako ni kiasi gani
Kwamba unahitaji research kujua kuwa Bongo mishahara ni midogo?! Dude please!Asilimia kubwa hii uliifanyia reseach lini mkuu? Mkuu, usipende kubeba story za kuzisikia kwa watu kisha ukazifanya kuwa ni facts...