Vijana msijifungie kwenye box

Timefi
 


Ushavuta cha Arusha, ukivuta unaona uko dunia nyingine
 
Amka ukakojoe wew fala hizo ndoto za mchana utachafua shuka
 
Aiseee

Ila kuna ujumbe kaandika hapo
Yaani asilimia kubwa ni maongezi ya siasa then mpira
Ila pia inategemea na kazi zako
Mi nafanya kazi na vijana ambao hawajaenda shule magodwn/madukani hawajuo hata hayo mambo ya uchawa asilimia kubwa ya machawa ni wasomi
Chunguza hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…