MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
πππKibaya usiku dada ako usiku akiwa anatumikia mahari unaskilizia spako tu zinasound
Hapo sasa?Wakakae wapi?
Mtu anaishi Kwa dada yake,kupangiana maisha.Hapo sasa?
Nachoka kwa kweli, ππMtu anaishi Kwa dada yake,kupangiana maisha.
Lakini kijana kuishi Kwa kaka yake ni ruksaππNachoka kwa kweli, ππ
Wakarine asali porini waje kuuza town.Wakakae wapi?
πππ labda na binti kuishi kwa dada yake ruksaa.Lakini kijana kuishi Kwa kaka yake ni ruksaππ
Kwanini kwani ni kosa?Popote pale lakn sio kwa shemeji zao
Huwa nashangaa sana watu wa aina hii.Haijakaa powa kabisa
Wapo mkuu, vijana wana roho ngumu sanaah hii haijakaa sawa
Ni ujinga tu mkuu, yani hata mzigo unakuwa hauli vizuri kabisa. Mda unatamani mzigo upigie sebuleni but inakuwa ngumu π π π .Wazanzibar hii ni kawaida Sana. Yaani MTU anaoa halafu anaenda kukaa nyumbani kwa mwanamke yaani Baba na mama wa mkewe wapo.
Hata Mimi siwaelewi hawa vijana! Kuna hitilafu vichwani mwao.Ni ujinga tu mkuu, yani hata mzigo unakuwa hauli vizuri kabisa. Mda unatamani mzigo upigie sebuleni but inakuwa ngumu π π π .