Vijana msikubali kukaa kwa shemeji zenu kwa namna yoyote ile

Bora, fanya haraka waje kunisaidia kazi za nyumbani😆
Hapana baby nitakutafutia ka-housegirl, ili usihangaike, sijui mara kuungua mikono.

Ili wewe ujikite zaidi kwenye maandalizi ya chakula changu pendwa. 😋😋😍😍
 
Hapo tunaongea lugha moja!

Hilo ni muhimu sana dady, ondoa shaka💃🏽
 
Back
Top Bottom