xa apo unaixh kama mfungwaWapo mkuu, vijana wana roho ngumu sana
Pole sana Mkuu kuombwa unyumba na shemeji yako wakati dada yako Yuko siku zake. Shemeji mbaya sana kaona akuungieNa nyie ambao mnakaa kwa shemeji zenu muwe na heshima na adabu.
Bahati mbaya mimi ndo mkubwa kwenye familia baby ππ.Babe hutaki kukaa kwa shemejiπ
Kwahiyo madogo wanakuangalia wewe?Bahati mbaya mimi ndo mkubwa kwenye familia baby ππ.
Sana aise, ndo maana nataka nikuoe fast ili madogo waaze kuitembelea home. ππKwahiyo madogo wanakuangalia wewe?
Hapo umekuwa safe sioπ€£
Bora, fanya haraka waje kunisaidia kazi za nyumbaniπSana aise, ndo maana nataka nikuoe fast ili madogo waaze kuitembelea home. ππ
Nguo zake umefua?Umenikumbusha aisee ngoja nioshe vyombo chap na nideki kabla shemeji hajarudi kutoka kwenye kusimamia mitihani.
Ana kisirani huyo...
Hapana baby nitakutafutia ka-housegirl, ili usihangaike, sijui mara kuungua mikono.Bora, fanya haraka waje kunisaidia kazi za nyumbaniπ
Hapo tunaongea lugha moja!Hapana baby nitakutafutia ka-housegirl, ili usihangaike, sijui mara kuungua mikono.
Ili wewe ujikite zaidi kwenye maandalizi ya chakula changu pendwa. ππππ
Nikale ugali wa masimango wakati wa ndugu upo?kaeni ata kwa masela zenu magnetoni