Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030. Vijana wengi toka 2014 hawana ajira za kueleweka.
Mamilioni wamejazana mitaani. Sisi kaka zenu, baba zenu na wadogo zenu tutawaunga mkono. Wazazi wenu wanajua adha waliyopitia kuwapeleka shule.
Kaka zenu tunajua changamoto mnazopitia kutwa kutupiga vibomu. Wadogo zenu wanajua wakimaliza shule hawana pa kwenda.
Wapenzi wenu wanajua maisha mnayopitia. Ndugu vijijini wanajua kwa kiasi gani michango yao haikuwasaidia kitu.
Kuhusu support msijali mnayo yakutosha.
Hakuna wanasiasa kwasasa wanaoonekana wanajali ajira na uchumi wa nchi. Sio wapinzani wala serikali. Wanayapigania matumbo yao nao wapate ulaji.
Kwa idadi yenu na nguvu mlionayo mnaweza kuamua kuchukua nchi 2030. 2025 mmeshachelewa.
Amkeni madiliko yanaletwa na vijana.