Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,787
Kwanza unazungumzia vijana wapi? hawa hawa wa Simba na Yanga au?
Serikali sikuvu ya CCM chini ya kiongozi mkuu na kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan ameliunganisha na kuifungua nchi na kua na mazingira bora zaid ya kiuchumi, kisiasa na kijamii,Tunawapa mikopo rafiki? Tumewaandalia mazingira mazuri ya kilimo?
Ndiyo maana wanakiogopa kilimo.... wakimbilie mashambani wakalime mchicha unaonunuliwa sokoni mitano!!!
Nimekuelewa saana tu.Umesoma nilichoandika ? Wewe unaongelea tatizo hili ni kama tatizo la tabaka fulani na sio nchi nzima na issue ya maana kuangalia ni nini kifanyike na sio nani aendelee kuwa pale juu (wachache) wakati wengi wanaendelea kutaabika...
kwenye mfumo wa sasa wa Teknolojia na Automation Nguvu kazi sio issue tena kama dunia (sio Bongo pekee) inabidi kukaa na kuangalia mbinu za kujinasua ni kama industrial revolution ilivyoondoa utumwa ndio hivi hii karne ya automation inavyoua / itakavyoua capitalism as we know it....
View attachment 3312018
Mazingira gani..... labda anajaribu ila kasi ya mabadiliko haiendani na kujaribu kwake.Serikali sikuvu ya CCM chini ya kiongozi mkuu na kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan ameliunganisha na kuifungua nchi na kua na mazingira bora zaid ya kiuchumi, kisiasa na kijamii,
Ndio maana Tanazania ndio nchi pekee kwenye kanda ya maziwa makuu yenye mazingira bora na mazuri zaidi kibiashara, kilimo, ufugaji, usafishaji n.k
Hata hivyo,
kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi binafsi wa mtu,
Na uvivu na uoga wako ndio chanzo cha umaskini wako 🐒
Hawa ni watoto wa kishua.Watu wanazungumzia kilimo kama kitu cha kawaida kama huna mtaji kilimo cha kupiga jembe kwa mkono ni kigumu na kinazeesha sana
Tafuta kazi ya kufanya hamna mtu atakaekubali kufa Kwa ajili Yako nchi hii kiufupi tanzania unatakiwa ku mind your businessNa ndiyo majibu yao hawa wazee waliotoboa kupitia kodi
Wewe unaongelea kubadilishana yaani hii Keki chache kwamba ifike wakati na nyie wachache mpate hio keki na sio kuangalia ufumbuzi wa kuongezea Keki ili watu wote wapate (na sio kesho bali leo) sababu kubalisha watu na sio system itakuwa ni yaleyale (chupa tofauti mvinyo uleule)Nimekuelewa saana tu.
Nope tunapoelekea uhitaji wa nguvu kazi haupo tena; hapo kale watu waliajiri watu ili wahesabu pesa, zikaja money counter na sasa hivi ni digitally wala huitaji kushika noti..., kuna kipindi mtu anakwenda dukani kununua vitu leo hii online hata kama kitu kipo Amazon warehouse huko Ughaibuni kinakufikia; nikiuza kitu point of sale inafanya accounting zote sihitahi muhasibu; nikumwa nikiweka details za ugonjwa wangu napewa mkeka ya huenda naumwa nini..., Zamani watu mia wangelima na kupata gunia mbili leo hii combined harvester linafanya kazi usiku na mchana na mkulima mmoja anaweza kulisha nchi nzima...Nguvu kazi bado ni tatizo.... hapa nitatofautiana na wewe. Nguvu kazi bado ni tatizo tena ndiyo imekuwa tatizo haswa maana kwasasa tunahitaji well trained, sophisticated and highly skilled human resource.
Kwahio sio kwamba unatatua tatizo unabadilisha wataoa matatizo ? Ndio maana nimekwambia uhitaji kusubiri inabidi ushinikize kuanzia leo..., ila kitakachotokea kwa sisi tunaofuatilia historia hapo keshokutwa kama dunia haitabadilika yatatokea ya French Revolution na watu kupigana..., Absolute Poverty anywhere is a threat to Society Everywhere...Hatuna uhitaji wa kuangalia nini kifanyike maana waliopaswa kuangalia wameshindwa. Vijana waingie mzigoni vijana wa wazee waliopo madarakani sasa nao wataabike ili tuongee lugha moja.
Again unaangalia kwa jicho la wachache (Individually) mimi naongelea collectively na ukweli ni kwamba middle class inazidi kupotea na kuna ongezeko la wachache sana ambao wanakula na kusaza na majority hawana hata makombo..., And that my-friend, is a recipe for disaster.Hauwezi kutafutiwa suluhisho na mtu ambaye tayari anajua mwanae atafanya kazi BOT akimaliza chuo, nephew atampeleka States kufanya MBA kisha akimaliza anampeleka TANAPA, ......
mazingira ya kilimo ni bora na mazuri sana, mazingira ya ufugaji, uwekezaji, biashara na usafishaji ni mazuri zaidi, amani, ulinzi na usalama ni vya kuaminika mno n.kMazingira gani..... labda anajaribu ila kasi ya mabadiliko haiendani na kujaribu kwake.
Fuatilia historia ya makampuni makubwa kama Toyota, Honda serikali iliyagroom.... wachina wanapewa mikopo Kuja kuchuuza Africa.
Kayavamie uje kufukuzwaMapori yamejaa huko...
kwenye nafasi ya uraisi waniachieVijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030. Vijana wengi toka 2014 hawana ajira za kueleweka.
Mamilioni wamejazana mitaani. Sisi kaka zenu, baba zenu na wadogo zenu tutawaunga mkono. Wazazi wenu wanajua adha waliyopitia kuwapeleka shule.
Kaka zenu tunajua changamoto mnazopitia kutwa kutupiga vibomu. Wadogo zenu wanajua wakimaliza shule hawana pa kwenda.
Wapenzi wenu wanajua maisha mnayopitia. Ndugu vijijini wanajua kwa kiasi gani michango yao haikuwasaidia kitu.
Kuhusu support msijali mnayo yakutosha.
Hakuna wanasiasa kwasasa wanaoonekana wanajali ajira na uchumi wa nchi. Sio wapinzani wala serikali. Wanayapigania matumbo yao nao wapate ulaji.
Kwa idadi yenu na nguvu mlionayo mnaweza kuamua kuchukua nchi 2030. 2025 mmeshachelewa.
Amkeni madiliko yanaletwa na vijana.
Dada zako wamebakiza kugombea migomba na kunyoana nywele na visu sababu ya njaaSina ajira lakini vijana tufanye kazi yoyote halali tupate kuishi huku tukiona namna bora ya kujikwamua
Haiwezekani...Kayavamie uje kufukuzwa
Kayavamie ulime uone moto wake wanakuja kufyeka yote na kukufukuza kwamba sio mali yako mbwa wewe hii mali ya Serikali unalima pori la kwako hili? Wewe kibwengu haujui unabwatuka tu kuna mapori mapori ya baba yako yale? Kayaguse uone cha motoHaiwezekani...
Wewe kibwengu wa CCM tulia hapa watu wanajadili mada serious utani wako wa kawapelekee vibwengu wenzio kulemazingira ya kilimo ni bora na mazuri sana, mazingira ya ufugaji, uwekezaji, biashara na usafishaji ni mazuri zaidi, amani, ulinzi na usalama ni vya kuaminika mno n.k
mtu mvivu na mzembe hawezi kamwe kuyaona haya gentleman 🐒
Sina dada kama wale Mimi 😂Dada zako wamebakiza kugombea migomba na kunyoana nywele na visu sababu ya njaa