vijana wepi, hao NETO wamashakufa kifo cha mende!Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030. Vijana wengi toka 2014 hawana ajira za kueleweka.
Mamilioni wamejazana mitaani. Sisi kaka zenu, baba zenu na wadogo zenu tutawaunga mkono. Wazazi wenu wanajua adha waliyopitia kuwapeleka shule.
Kaka zenu tunajua changamoto mnazopitia kutwa kutupiga vibomu. Wadogo zenu wanajua wakimaliza shule hawana pa kwenda.
Wapenzi wenu wanajua maisha mnayopitia. Ndugu vijijini wanajua kwa kiasi gani michango yao haikuwasaidia kitu.
Kuhusu support msijali mnayo yakutosha.
Hakuna wanasiasa kwasasa wanaoonekana wanajali ajira na uchumi wa nchi. Sio wapinzani wala serikali. Wanayapigania matumbo yao nao wapate ulaji.
Kwa idadi yenu na nguvu mlionayo mnaweza kuamua kuchukua nchi 2030. 2025 mmeshachelewa.
Amkeni madiliko yanaletwa na vijana.
Tatizo la ajira mtalielewa ni tatizo pale ambapo tutaichukua nchi kisha nyie wazee mnakuwa jobless.Kwamba wakichukua nchi ndio ajira zitapatikana ; au wasubiri kwanza mpaka wachukue nchi ili wao ndio wapate ajira ? Haujui hata hawa wazee wa sasa walikuwa vijana ? In short haitakiwi kusubiri wachukue nchi bali kuanzia sasa ni kuhoji na kushinikiza mambo yaende sawa...
Hizi Politics ndio zinatudumaza na wengi kuendelea kutumika kama platform ya wengine kupitia kwenda kula
Je, Ajira sio Agenda tena?
Hapa nataka kuwauliza watunga Sera na Vyama vya Siasa..., ila kabla ya yote kwanza ninanukuu Babu wa Chama Tawala cha Sasa kilivyosema na kilivyokuwa kinaamini.... (Extract kutoka Hotuba ya Mwalimu Nyerere) CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...www.jamiiforums.com
Gen Z na Millennials wanaweza kumuweka yoyote Ikulu Legally
They have the Numbers.....; Ukichukulia generations tofauti na kuziweka katika miaka waliyozaliwa utapata generations zifuatazo The Greatest Generation – born 1901-1927. ... The Silent Generation – born 1928-1945. ... The Baby Boomer Generation – born 1946-1964. ... Generation X – born...www.jamiiforums.com
ni muhimu sana wajikusanye mashambani kwenye ajira za uhakika ili waondokane na unyonge wa kipato unawapa hasira, mihemko na ghadhabu bila sababu,Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030. Vijana wengi toka 2014 hawana ajira za kueleweka.
Mamilioni wamejazana mitaani. Sisi kaka zenu, baba zenu na wadogo zenu tutawaunga mkono. Wazazi wenu wanajua adha waliyopitia kuwapeleka shule.
Kaka zenu tunajua changamoto mnazopitia kutwa kutupiga vibomu. Wadogo zenu wanajua wakimaliza shule hawana pa kwenda.
Wapenzi wenu wanajua maisha mnayopitia. Ndugu vijijini wanajua kwa kiasi gani michango yao haikuwasaidia kitu.
Kuhusu support msijali mnayo yakutosha.
Hakuna wanasiasa kwasasa wanaoonekana wanajali ajira na uchumi wa nchi. Sio wapinzani wala serikali. Wanayapigania matumbo yao nao wapate ulaji.
Kwa idadi yenu na nguvu mlionayo mnaweza kuamua kuchukua nchi 2030. 2025 mmeshachelewa.
Amkeni madiliko yanaletwa na vijana.
Tunawapa mikopo rafiki? Tumewaandalia mazingira mazuri ya kilimo?ni muhimu sana wajikusanye mashambani kwenye ajira za uhakika ili waondokane na unyonge wa kipato unawapa hasira, mihemko na ghadhabu bila sababu,
kupigwa na kuchezea virungu na wewe ni graduate usie na ajira wala kipato inaumiza sana aise 🐒
Umesoma nilichoandika ? Wewe unaongelea tatizo hili ni kama tatizo la tabaka fulani na sio nchi nzima na issue ya maana kuangalia ni nini kifanyike na sio nani aendelee kuwa pale juu (wachache) wakati wengi wanaendelea kutaabika...Tatizo la ajira mtalielewa ni tatizo pale ambapo tutaichukua nchi kisha nyie wazee mnakuwa jobless.
La sivyo hamtawaelewa hawa vijana.
Mapori yamejaa huko...Unayo njia nyingine tofauti na hii?
Una advocate mzuri?Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030. Vijana wengi toka 2014 hawana ajira za kueleweka.
Mamilioni wamejazana mitaani. Sisi kaka zenu, baba zenu na wadogo zenu tutawaunga mkono. Wazazi wenu wanajua adha waliyopitia kuwapeleka shule.
Kaka zenu tunajua changamoto mnazopitia kutwa kutupiga vibomu. Wadogo zenu wanajua wakimaliza shule hawana pa kwenda.
Wapenzi wenu wanajua maisha mnayopitia. Ndugu vijijini wanajua kwa kiasi gani michango yao haikuwasaidia kitu.
Kuhusu support msijali mnayo yakutosha.
Hakuna wanasiasa kwasasa wanaoonekana wanajali ajira na uchumi wa nchi. Sio wapinzani wala serikali. Wanayapigania matumbo yao nao wapate ulaji.
Kwa idadi yenu na nguvu mlionayo mnaweza kuamua kuchukua nchi 2030. 2025 mmeshachelewa.
Amkeni madiliko yanaletwa na vijana.
Watarubuniwa kidogo, watakuja kupongeza mitano tena. Vijana wa kizaz hiki ni hopless (si wote)Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030. Vijana wengi toka 2014 hawana ajira za kueleweka.