Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu

Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa

Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho duniani
 
Wewe yanakuhusu Nini??
 
😡
 
Nikuulize tu swali rahisi. Hao watu wasiojulikana wanateka Wanaharakati kwa sababu gani? Je wanafanya hivyo kwa mapenzi yao wenyewe au kwa faida ya kundi fulani?? Kwako wewe kusimama kwenye HAKI ni uanaharakati lkn ukisimama upande wa madhulumati kwako ni mzalendo siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…