Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
vijana kuweni watii na wenye nidhamu misiwaumize wapendwa wenu
Akina mandela, desmond tutu, akina nyerere na wengineo, wangekuwa na hizi mindset wangegeuka kuwa chawa wa mkoloni.Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu
Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa
Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho duniani
wewe hapo sijui unaongea nini so negativeMaisha gani hivi wewe duniani umezaliwa mwenyewe baada ujipambanie wewe na familia yako unaanza kuhangaika na serikali ambapo uhalisia unaujua kwamba majamaa yameshikilia mpini wewe umeshika ukali
Nyerere alifanya harakati lini acha kutuona watu mazombi humuendapo nyerere asingefanya harakati pengine wewe hata hivi leo usingezaliwa mbumbumbu wewe
Hivi soka ajapatikana mpaka sasa na alipotezwa kwa issue gan?Vijana wengi ni maskini ,kazi kutukana watu wakishikwa wanaanza kuwapa tabu wazazi wao (slave masters) kama yule Soka ,huko kwao wanalia...Tumieni akili kufanya ubunifu siasa haina ishu utapotea tu .
Watu wanakufa vifo vibaya kutwa ila hamuelewi...Kama unataka kupambania wananchi basi anza hata kuchukua watoto wa mitaani ukae nao hata kusaidia mafukara ...Kama viongozi wanafanya uovu basi malipo yao watayapata hapa hapa duniani.
nidhamu yenyewe ni ya haki na sio nidhamu ya ufisadi na wizivijana kuweni watii na wenye nidhamu misiwaumize wapendwa wenu
Keyboard warrior nilitarajia lazima mlete shobo hapawewe hapo sijui unaongea nini so negative
Kichafue sasa kama mdude genius jamani jinga na key board warrior lingine hili apaendapo nyerere asingefanya harakati pengine wewe hata hivi leo usingezaliwa mbumbumbu wewe
Huyo nae ni mjinga mwingine kijana mdogo unafanya mambo ya kilofaHivi soka ajapatikana mpaka sasa na alipotezwa kwa issue gan?
Kabisa mkuu alaf ss kwa maisha niliyoyaona kwa Mtandao maude angefocus kujitengeneza kimaisha . aisee unakufa hivi hivi hata urithi wa kueleweka kwa mwanao huachi ..haoni wenzie kina Bon Sugu na viongozi wengine wako mambo safi haya yeye kajipangaje hata kama leo akaondoshwa..kuna watu ni ma kibodi woriaz wanamjaza upepo anajaa kwenye mfumo mwisho wa siku anaeisoma namba ni yeye familia yake inaitika onhooTena tanzania kama hujakutwa kwenye kiroba ufukweni basi maiti Yako haitaonekana
keyboard warriornidhamu yenyewe ni ya haki na sio nidhamu ya ufisadi na wizi
huna akili kama unadhani mimi nipo kimachafuko, mimi nipo kuhamasisha haki na demokrasia pamoja na amani sio machafuko mbumbumbu weweKichafue sasa kama mdude genius jamani jinga na key board warrior lingine hili apa
Hakika utakufaLeo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu
Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa
Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho d
🤣🤣Huyo ni CHADEMA wale wanajifanya conscious ,alishawahi kusema hana muda mrefu atapotezwa na kweli yakatokea..Kuna video inaonesha huko kwao wanalia mpaka bibi yake ,walikuwa wanamtegemea...Ilinipa huzuni sana.Hivi soka ajapatikana mpaka sasa na alipotezwa kwa issue gan?
Kuna wajinga wanaomfuata pm wanamjaza maneno na yeye masikini wa mungu analopoka aisee kisa majinga Fulani keyboard warrior yanampambaKabisa mkuu alaf ss kwa maisha niliyoyaona kwa Mtandao maude angefocus kujitengeneza kimaisha . aisee unakufa hivi hivi hata urithi wa kueleweka kwa mwanao huachi ..haoni wenzie kina Bon Sugu na viongozi wengine wako mambo safi haya yeye kajipangaje hata kama leo akaondoshwa..kuna watu ni ma kibodi woriaz wanamjaza upepo anajaa kwenye mfumo mwisho wa siku anaeisoma namba ni yeye familia yake inaitika onhoo
Keyboard warriorNyerere angekua hivi sijui kama Tungepata uhuru.
Ngoja niachane na wewe maana unaonakana huna hekima na akili huwezi kusimama kuongea na mimi mtu mkubwa sanakeyboard warrior
Bongo wanaacha kufanya ugunduzi kazi kukimbizana na serikali.....Maisha gani hivi wewe duniani umezaliwa mwenyewe baada ujipambanie wewe na familia yako unaanza kuhangaika na serikali ambapo uhalisia unaujua kwamba majamaa yameshikilia mpini wewe umeshika ukali