Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
hujui kuwa hakuna ugundudzi utakao fanyika kama kukiwa na serikali ya kifisadi ?Bongo wanaacha kufanya ugunduzi kazi kukimbizana na serikali.....
hujui kuwa hakuna ugundudzi utakao fanyika kama kukiwa na serikali ya kifisadi ?Bongo wanaacha kufanya ugunduzi kazi kukimbizana na serikali.....
Unajua bhana Kuna majitu yanatia hasira sanaBongo wanaacha kufanya ugunduzi kazi kukimbizana na serikali.....
Una umri gani?sounds too childishKeyboard warrior nilitarajia lazima mlete shobo hapa
Wewe mbona hutaki kuitoa hiyo serikali ya ufisadi unamsakizia mtu kama mdude wewe ukiwa umejifunika shuka keyboard warriorhujui kuwa hakuna ugundudzi utakao fanyika kama kukiwa na serikali ya kifisadi ?
Huna haja ya kujua umri wangu hautokusaidia chochote kwenye maisha yakoUna umri gani?sounds too childish
Kwa kweliAt the end of day maisha ni yako..utsacrifice maisha yako kwa ajili ya watu wengine watakaoteseka ni wanao na mkeo si ajabu hata hao unaowafightia hawatahangaika na familia yako..huwezi shindana na mamlaka haijalishi uko sahihi au has sahihi..wameshika makali wewe umeshika mpini ..kamdomo kanaponza kama unakereketwa kosoa kwa staha ..ila wanawake wa wanaharakati wanakaa roho juu sana pole yao
Unauliza swali Gani Hilo wewe unaishi nchi gani wewe ni mtanzania kweliMaana yake unatwambia kila mtu hapa tanzania hayuko salama. Mtu kama mdude hana bunduki wala silaha yoyote ya kutudhuru, inakuwaje apigwe na kupotea namna hiyo wakati ni mtu ambaye hawezi kujitetea kwa silaha.
Hivi unajua unachokiongea kwanza ? hebu kuwa unanifuatilia hata machapisho yangu mimi nipo mstari wa mbele kuwapigania watanzania maskini ikiwemo weweWewe mbona hutaki kuitoa hiyo serikali ya ufisadi unamsakizia mtu kama mdude wewe ukiwa umejifunika shuka keyboard warrior
Mimi ni mkongo aiseeeUnauliza swali Gani Hilo wewe unaishi nchi gani wewe ni mtanzania kweli
Toka kapambane na Dola sio unakaa humu keyboard warrior kazi kubana puaHiki kizazi cha sasa cha wala chips kamwe kisingeweza kudai uhuru kutoka kwa wakoloni, ktk struggle zozote za kudai mabadiliko baadhi lazima tutaumia kwa faida ya wengi hapo baadae.
Mdude sio wa kwanza, nadhani umewasahu akina Mawazo na wengine.
Na damu ya mtu haiendagi hivi hivi, malipo ni hapa duniani...Jiwe alikuwa ni zaidi ya huyu mvaa ushungi leo yuko wapi?!
Kabisa mkuu wewe unapambanaje na majitu ambayo yanasiraha wewe mkononi hata manati huna utakua huna akili ukiuliwa wakati kulikuana njia ya kujiepusha naoUzi umenyooka huu.
Pambana na dola ukiwa msituni umeshika mtutu dola itakuelewa,sio unapambana na dola eti umelala nyumbani hata mbwa wa kukulinda auna,alafu unaipa serikali siku tatu ifate maagizo yako wewe panya.
Umeona jinsi ulivyokuwa huna akili mapambano yangu hayapo kwenye dola wala jeshi bali ni kwa mafisadi na weziToka kapambane na Dola sio unakaa humu keyboard warrior kazi kubana pua
Ulivyokua zuzu Sasa mafisadi utawapataje wakati wanalindwa na Dola yenye silaha za moto hivi unaakili timamu kweli wewe keyboard warriorUmeona jinsi ulivyokuwa huna akili mapambano yangu hayapo kwenye dola wala jeshi bali ni kwa mafisadi na wezi
si ajabu wewe utakuwa unahusika na ubaya unaoendeleaToka kapambane na Dola sio unakaa humu keyboard warrior kazi kubana pua
Keyboard warrior shenzi sana mda huu unabana pua mdude damu yake imemwagika na familia yake inalia jinga sana nyiesi ajabu wewe utakuwa unahusika na ubaya unaoendelea
hii kampuni ina watu wa hovyo sana......akili mbovu kama za musiba! wacha kiwaramabe!Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu
Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa
Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho duniani