Angalau wewe umebalansi!Tena sana watu wanapotea Kwa ujinga wa kujazwa upepo na majitu ambayo hayatoweza kumsaidia likimkuta la kumkuta
hii comment yako Kiboko! U keyboard warrior kama wa Erythrocyte au Retired au Leo Mrs Byesige afadhali ila wa Mdude mh! Introvert Member yupo sahihi ukiangalia kilio cha mke wake.Niko zangu hapa mbambalaga katika Harakati Za kusaka mbususu ya kuichakata usiku 🤣
But now I understand Kwanini baba Levo baada ya kuwa diwani alipofungwa mwaka mmoja baada ya kutoka jela aliamua kuwa mnafiki mnafiki