Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

Kwa hiki kiwango chako cha akili ulichonacho basi nadhani utakuwa sahihi kushabikia kuwa wanao pigania haki zako hawana maana.
We mjinga kweli haki unaipigania kwenye keyboard unafikiri inapatikana kilofa hivyo unabana pia humu eti haki haki tanzania Kuna haki utayopata kirahisi hivyo
 
Shida ni kwamba hata kama watu tukijikausha, bado deep down tunaona uchungu kwa yanayotendeka, ni sawa na kukimbua kivuli chako - injustice ikitokea any sane man will notice;Hata wewe hoja yako sio watu kuunga mkono mauaji isipokua ni umeumia na kulalamika sababu waTz ni keboard warriors, it means unasupport watu wasiwe keyboard warriors , wasupport wanaharakati wao kwa hali na mali.
Hata wewe kuandika huu uzi tayari inaonesha uko troubled na uzombi wa waTz licha ya injustice.
 
huna akili kama unadhani mimi nipo kimachafuko, mimi nipo kuhamasisha haki na demokrasia pamoja na amani sio machafuko mbumbumbu wewe
Haki kaiombe Kwa baba Yako akuhudumie sio Kwa tanzania hii hupati haki kimama hivyo Mimi naongea uhalisia sio mnafiki
 
Shida ni kwamba hata kama watu tukijikausha, bado deep down tunaona uchungu kwa yanayotendeka, ni sawa na kukimbua kivuli chako - injustice ikitokea any sane man will notice;Hata wewe hoja yako sio watu kuunga mkono mauaji isipokua ni umeumia na kulalamika sababu waTz ni keboard warriors, it means unasupport watu wasiwe keyboard warriors , wasupport wanaharakati wao kwa hali na mali.
Hata wewe kuandika huu uzi tayari inaonesha uko troubled na uzombi wa waTz licha ya injustice.
Ndio maana nikasema mdude ni jitu jinga sana linafanya harakati uchwara nchi kama tanzania ambayo ni ya keyboard warrior
 
kwahiyo wewe unaamini upo salama sana
Mimi ndio nipo salama sababu Nina akili nimesoma alama za nyakati siwezi kuja kukamatwa hata siku Moja Kwa mambo ya siasa wajinga kama mdude ndio watapotezwa Kwa kujifanya wanaharakati uchwara eti wapambania nchi jinga kabisa
 
Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu

Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa

Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho duniani
KITIMOTO wewe.
 
Halafu ni too childish sana.

Ms inaonesha anaumia sana sana na maandishi ya watu humu.Kwani hili neno keyboard worrier kaliandika mara nyingiii isivyo kawaida.Hata shule hamna humu.
Jambo la kumfunza huyu ni anatakiwa ajue kuwa kalamu ina nguvu kuliko bunduki.

Hata hivyo ni nini faida ya unyama ule kwa aliyeagizana aliyetekeleza? Hata kwako wewe unayefurahia haya mabaya machoni pa mwenyezi Mungu unanufaika nayo vipi?
Mungu huwa ni muweza ya yote.
📌💯
 
Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu

Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa

Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho duniani
Wengine wamezaliwa na hzo harakati ndio hatma zao...hayo mengine sijui familia ,mke ,nk sio vipaumbele vyao..

Unawashaurije muoga wewe?????
 
Unaleta vitisho kwa sababu we umeshiba na uko upande unaofanya dhuluma. Acha vijana wafanye harakati za kuleta mabadiliko, kuondoa dhuluma na madhambi mengine
 
Kama wamezaliwa na hizo harakati Bora angehasiwa asingeoa mwanamke pumbavu yule mke wake analia kama chizi Kwa ujinga wake anatesa mtoto na mke
 
Unaleta vitisho kwa sababu we umeshiba na uko upande unaofanya dhuluma. Acha vijana wafanye harakati za kuleta mabadiliko, kuondoa dhuluma na madhambi mengine
Keyboard warrior we mbona hufanyi harakati jibu ni wewe ni muoga wa kichapo
 
watu wote walioshangilia kifo cha Magufuli ni wapuuzi fulani hivi
 
Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu

Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa

Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho duniani
Wewe no muoga na mbinafsi.Unafikiri kuhusu uhai wako tu,na sio maslahi na maisha ya watu wengine.Watu kama Lissu,Mdude,Lema lazima wawepo ili kuleta mabadiliko katika jamii
 
Back
Top Bottom