Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #141
Wewe ambae sio muoga umefanya nini mpaka Sasa na hao watu wengine wanashindwa nini kupambana ikibidi na wao wafe kama ni vizuri mpaka Mimi niwapambanie nife ?Wewe no muoga na mbinafsi.Unafikiri kuhusu uhai wako tu,na sio maslahi na maisha ya watu wengine.Watu kama Lissu,Mdude,Lema lazima wawepo ili kuleta mabadiliko katika jamii