Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

Nikuulize tu swali rahisi. Hao watu wasiojulikana wanateka Wanaharakati kwa sababu gani? Je wanafanya hivyo kwa mapenzi yao wenyewe au kwa faida ya kundi fulani?? Kwako wewe kusimama kwenye HAKI ni uanaharakati lkn ukisimama upande wa madhulumati kwako ni mzalendo siyo?
We mbona ufanyi uhanaharakati kama wa mdude umekalia kuandika humu tu sio hujui uchungu wa ndugu Yako kupotezwa kisa huu ujinga
 
Vijana wengi ni maskini ,kazi kutukana watu wakishikwa wanaanza kuwapa tabu wazazi wao (slave masters) kama yule Soka ,huko kwao wanalia...Tumieni akili kufanya ubunifu siasa haina ishu utapotea tu .

Watu wanakufa vifo vibaya kutwa ila hamuelewi...Kama unataka kupambania wananchi basi anza hata kuchukua watoto wa mitaani ukae nao hata kusaidia mafukara ...Kama viongozi wanafanya uovu basi malipo yao watayapata hapa hapa duniani.
 
Watu hawaelewi nimeangalia video ya mke wa mdude akiongea imenitia hasira yaani mwanamke Kawa kama chizi huku kabeba mtoto mgongoni yote hayo ni ujinga wa mdude ila yule jamaa sidhani kama alikua timamu kichwani
 
At the end of day maisha ni yako..utsacrifice maisha yako kwa ajili ya watu wengine watakaoteseka ni wanao na mkeo si ajabu hata hao unaowafightia hawatahangaika na familia yako..huwezi shindana na mamlaka haijalishi uko sahihi au has sahihi..wameshika makali wewe umeshika mpini ..kamdomo kanaponza kama unakereketwa kosoa kwa staha ..ila wanawake wa wanaharakati wanakaa roho juu sana pole yao
 
Tena tanzania kama hujakutwa kwenye kiroba ufukweni basi maiti Yako haitaonekana
 
Watu hawaelewi nimeangalia video ya mke wa mdude akiongea imenitia hasira yaani mwanamke Kawa kama chizi huku kabeba mtoto mgongoni yote hayo ni ujinga wa mdude ila yule jamaa sidhani kama alikua timamu kichwani
Wanakuambia eti siasa ni maisha ,wakati ni ujinga mtupu ..Mtu uache kufanya kazi uwe unakosoa tu watu.
 
Niko zangu hapa mbambalaga katika Harakati Za kusaka mbususu ya kuichakata usiku 🤣

But now I understand Kwanini baba Levo baada ya kuwa diwani alipofungwa mwaka mmoja baada ya kutoka jela aliamua kuwa mnafiki mnafiki
 
Leo nimemfikiria yule mama na mtoto mgongoni , aisee mbona madhira haya hayamkuti Heche , vijana tusiwe wa binafsi kiasi cha kutesa familia zetu, ukifika muda wa mapinduzi kila mtu atashiriki kwa sasa acha mwenye jicho chongo aongoze vipofu
 
Siku yako inakuja boss, na wala haiko mbali, hata kwa bodaboda msiba utakuwa hapo nyumbani kwako, rest assured, furahia vifo vya wenzako wakati cha kwako kinajiandaa, naiona mauti yako dhahiri, wanao pia wanaenda kuwa yatima kama watoto wa Mdude, dunia duara mkuu, siku zetu za kuishi ni chache mno
 
Wanakuambia eti siasa ni maisha ,wakati ni ujinga mtupu ..Mtu uache kufanya kazi uwe unakosoa tu watu.
Maisha gani hivi wewe duniani umezaliwa mwenyewe baada ujipambanie wewe na familia yako unaanza kuhangaika na serikali ambapo uhalisia unaujua kwamba majamaa yameshikilia mpini wewe umeshika ukali
 
Back
Top Bottom