Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,984
ubaya unaoendelea upi,ubaya ubwela au ubaya mkong'oto?si ajabu wewe utakuwa unahusika na ubaya unaoendelea

Kwa hiki kiwango chako cha akili ulichonacho basi nadhani utakuwa sahihi kushabikia kuwa wanao pigania haki zako hawana maana.Ulivyokua zuzu Sasa mafisadi utawapataje wakati wanalindwa na Dola yenye silaha za moto hivi unaakili timamu kweli wewe keyboard warrior
Toa hapa mapepo yako ya utekaji. Utajibu siku ukifa usipotubu na mapepo yako. Mnadhani mtaishi hapa milele. Angalia utajibu tu mbele za Mungu na uzuri Mungu si mwana CCM. Msilete rahana kwenye ardhi ya Tanzania.Keyboard warrior shenzi sana mda huu unabana pua mdude damu yake imemwagika na familia yake inalia jinga sana nyie
Una uhakika ilo tumbo ulilolipambania je mpaka wajuu zako nao watakula hicho ulichokipambania. Au unadanganyika kwa bao moja tu unalopigwa na hao kwa siku ?Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu
Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa
Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho duniani
Hujui ulisemalo,Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu
Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa
Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho duniani
Shida huja pale kwenye harakati za kutafuta ugali kuna mtu anakuwa kikwazo. Huwezi kumuacha ili ufe njaa. Utapambana naeNaungana na wewe 🙌 Tafuta ugali wa familia yako maisha yaendelee, ila deep down inauma sana yaani hii nchi daah
Kwamba umeumia sana?? Kwa nn tusiwe na mfumo wa chama kimoja badala ya vyama vingi?Watu hawaelewi nimeangalia video ya mke wa mdude akiongea imenitia hasira yaani mwanamke Kawa kama chizi huku kabeba mtoto mgongoni yote hayo ni ujinga wa mdude ila yule jamaa sidhani kama alikua timamu kichwani
Wajinga kama wewe ni wengi sana kwenye hii nchi.Keyboard warrior
Ipo siku hata huo ugali utautafuta na utaukosa. Mfumo ukisha jua hakuna wa kuubugudhi huwa tabia za ajabu sana. Ndiyo utachomwa kidole jichoni Huku unaangaliaNaungana na wewe 🙌 Tafuta ugali wa familia yako maisha yaendelee, ila deep down inauma sana yaani hii nchi daah
ukweli mchungu, kaacha familia. Je chama kitachukua uamuzi gani.Wewe yanakuhusu Nini??
Huenda una wazo zuri lkn kwangu mimi neno MSISUBUTU kwenye heading limetosha kujua kuwa wewe ndio wale wa kujua kuso na kuandika hivyo ujumbe wako sijisumbui kuusoma.Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu
Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa
Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho duniani
Bichwa Komwe, leo naona umetuliza komwe hujaropoka mineno yako ile.Naunga mkono hoja.
Kila mtu ajiokoe nafsi yake kama YESU MSALABANI.
Umejilipua kweli hapa JF ingawa una pointLeo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu
Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa
Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho duniani
mkuu,umeanzisha uzi huu kwa lengo gani,manake uzi wako umejaa maneno key board worrior kila mahali,unaanzisha thread unataka watu wajibu kutokana na unavyofikilia.Unauliza swali Gani Hilo wewe unaishi nchi gani wewe ni mtanzania kweli
Lissu mwenyewe achukue kibunda atulie anawapigania majitu maoga hayajielewi, au ajiunge kabisa na ccm ale maisha, asikubali kuwafia wapuuzi wasio na sapoti yoyoteLeo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu