Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

La muerte es una acción inmediata, no le tengo miedo, la muerte es un deber y cuando te llama no la rechazas, ustedes son los que gritaban para que la calculadora corrigiera, si Adolf Hitler, Nelson Mandela, Tundu Lissu hubieran decidido ser cobardes, la verdadera justicia y la libertad no se hubieran alcanzado.
 
Huna ubavu huo we ni kunguru tu na hamna mtanzania anaeweza kufanya harakati za ujasiri Sasa hivi nadhani mdude alikua anaupungufu wa akili chadema wakatumia hiyo fursa kumuweka mbele mbele atukane viongozi
huyo ni mmoja tu, wako wengi wanaopinga udhalimu
 
Huo ni ujinga kufa kifala wanaume wanafia msituni wakipambana na serikali dhalimu. We mtu Hana hata mbwa wa kumlinda anajiita mwanaharakati hata acid tu ya kuwadhuru wabaya wake Huo sio uhanaharakati ni kuchanganyikiwa na maisha
Ila kweli umeongea point,yaan watu wanavunja mpaka mlango lakin kashindwa kuua hata mmoja

Yaan bastola kakosa hata tindikali nayo alikuwa hana
 
Tatizo la Mdude ni matusi. Hakuna mtu anapenda kutukanwa. Huwezi kuta watoto au ndugu wa Mbowe, Heche, Lema, Lissu na vigogo wengine wa upinzani wanafanya harakati za kijinga kama Mdude. Huyu jamaa ni mjinga mno ndo maana hujikuta kwenye matatizo.
 
Ila kweli umeongea point,yaan watu wanavunja mpaka mlango lakin kashindwa kuua hata mmoja

Yaan bastola kakosa hata tindikali nayo alikuwa hana
Nadhani umenielewa lengo langu huwezi kuchukuliwa kama kuku mbele ya mke wako halafu unajiita unapambania nchi Bora ungetulia tuli tu kama sisi sio unapiga Domo halafu watu wanakuja na bunduki wanakufanya wanavyotaka huna hata silaha ya kujitetea huko ni kuchanganyikiwa na maisha unaacha watoto wanaishi maisha ya kilofa Kwa ujinga wako
 
Utakuwa kwenye siku zako kwani baadhi wanapofikia mzunguuko vichwa hufyatuka.
 
Ni
bora baba Yako angevaa condom tu ili kutupunguzia vichaa kama wewe.watu wanapigania haki unaita uanaharakati uchwara?
 
Ni

bora baba Yako angevaa condom tu ili kutupunguzia vichaa kama wewe.watu wanapigania haki unaita uanaharakati uchwara?
Haki Gani unaipigania we keyboard warrior umechanganyikiwa na maisha
 
Sheria kumiliki silahaa hipo wapi
 
UNAKOSEA SANA kuoogopesha Vijana ... INAONEKANA UNAMAISHA YA UOGA NA UNYONGE KIASI HATA BIBILIA IMEPINGA KUWA MNYONGE HIVYO... kwahio mke wako akishikwa Tako utaogopa Kuwa mwanaume sababu unaogopa Utapigwa ufe umuache hai?
 
tumeruhusiwa kumiliki silaha au unamaanisha Panga??
 
UNAKOSEA SANA kuoogopesha Vijana ... INAONEKANA UNAMAISHA YA UOGA NA UNYONGE KIASI BATA BIBILIA IMEPINGA KUWA MNYONGE HIVYO... kwahio mke wako akishikwa Tako utaogopa Kuwa mwanaume sababu unaogopa Utapigwa ufe umuache hai?
kwani kwenye siasa huwa mnashikwa matako
 
Mafala mko kila kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…