sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe murua kabisa.
Kuna viumbe wanalazimisha wote tuwe kina misso misondo, tuwe kina joti sijui kina mwijaku.
Wanawalaumu waliosoma eti hawajiongezi bila kujua kua hivyo ni vipaji mtu anazaliw navyo tu.
Wengine kuongea na watu na kujichanganya ni shida atakuaje na hizo karama.
Najua hilo.Mwijaku ni msomi.
Na anafanya alichosomea chuo kikuu
Mwijaku ana degree ya sanaa ya maigizo kutoka chuo kikuu cha dar es salaam.