Ujumbe murua kabisa.
Kuna viumbe wanalazimisha wote tuwe kina misso misondo, tuwe kina joti sijui kina mwijaku.
Wanawalaumu waliosoma eti hawajiongezi bila kujua kua hivyo ni vipaji mtu anazaliw navyo tu.
Wengine kuongea na watu na kujichanganya ni shida atakuaje na hizo karama.