didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Wanajamvi kuna suala la USA kutowaamin vijana kwa upande wangu nimeshuhudia masenators wengi ni wazee ha hata viongozi mbalimbali wa mataasisi na hata pia cabinet secretaries na member of house of Representatives. Je ni kweli USA haimini ktk vijana ktka masuala ya uongozi?