didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Tazama waliojaribu kupewa uongozi hapa kwetu na papara walizonazo wakishindana kuiba wawe sawa au zaidi ya wanasiasa wazee walioiba tangu uhuru.Wanajamvi kuna suala la USA kutowaamin vijana kwa upande wangu nimeshuhudia masenators wengi ni wazee ha hata viongozi mbalimbali wa mataasisi na hata pia cabinet secretaries na member of house of Representatives. Je ni kweli USA haimini ktk vijana ktka masuala ya uongozi?
kwaio hii issue ya vijana ni scam kwetuTazama waliojaribu kupewa uongozi hapa kwetu na papara walizonazo wakishindana kuiba wawe sawa au zaidi ya wanasiasa wazee walioiba tangu uhuru.
US wanawahubiria vitu wasivyoishi. Mfano, hawapigii kura jinsia bali uwezo wa mtu na wala hakuna cha viti maalum bungeni kwa wanawake. Yani hakuna usawa wa viti kwa upendeleo wa kijinsia.
Hakuna eti zamu ya vijana, ni mwendo wa kuuza sera na uwezo.
SafiTazama waliojaribu kupewa uongozi hapa kwetu na papara walizonazo wakishindana kuiba wawe sawa au zaidi ya wanasiasa wazee walioiba tangu uhuru.
US wanawahubiria vitu wasivyoishi. Mfano, hawapigii kura jinsia bali uwezo wa mtu na wala hakuna cha viti maalum bungeni kwa wanawake. Yani hakuna usawa wa viti kwa upendeleo wa kijinsia.
Hakuna eti zamu ya vijana, ni mwendo wa kuuza sera na uwezo.
Nyinyi ndiyo mnachagua umri na jinsiakwaio hii issue ya vijana ni scam kwetu
Nancy Pelosi mshahara wake kwa mwaka $234,000 ameingia madarakani akiwa na $2M. Sasa hivi ana $240,000,000 kutoka $2M mpaka $240M huyu nae?.Tazama waliojaribu kupewa uongozi hapa kwetu na papara walizonazo wakishindana kuiba wawe sawa au zaidi ya wanasiasa wazee walioiba tangu uhuru.
US wanawahubiria vitu wasivyoishi. Mfano, hawapigii kura jinsia bali uwezo wa mtu na wala hakuna cha viti maalum bungeni kwa wanawake. Yani hakuna usawa wa viti kwa upendeleo wa kijinsia.
Hakuna eti zamu ya vijana, ni mwendo wa kuuza sera na uwezo.
Huyu bibi naye anatuhuma za kununua na kuuza stock kwa kutumia inside info ambazo hazipatikani kwa public. Hata michelle obama naye now kupuitia siasa kawa milionea.Nancy Pelosi mshahara wake kwa mwaka $234,000 ameingia madarakani akiwa na $2M. Sasa hivi ana $240,000,000 kutoka $2M mpaka $240M huyu nae?.