bellan2020
New Member
- Sep 13, 2022
- 2
- 1
Ufugaji wa Samaki ni fursa kubwa sana kwa mikoa ya Shinyanga na Tabora kwa kutumia maji ya ZIWA victoria.
---
UFUGAJI WA SAMAKI(Sato) UNAWEZA KUTATUA HALI NGUMU YA KIUCHUMI KWA VIJANA WA MIKOA INAYOPITIWA NA MRADI WA MAJI TOKA ZIWA VICTORIA (Hasa SHINYANGA Na TABORA)
Ufugaji wa Samaki aina ya sato ni aina ya ufugaji au Kilimo cha maji baridi kinachohusiana na ufugaji wa Samaki aina ya sato wanaostahimili maji baridi,Tasnia hii imekuwa ilikuwa kwa kasi hasa ikizingatiwa kuwepo kwa mapinduzi ya viwanda duniani pamoja na sayansi na teknolojia kubwa kipindi hiki,
Faida zitokanazo na ufugaji wa Samaki ni lukuki ,kwa kuzingatia faida hizo mikoa ya hasa ya Shinyanaga na Tabora zinaweza kunufaika na mradi huu wa maji toka ZIWA VICTORIA kwa kujipatia mambo yafuatayo:
Mradi huu wa maji toka ZIWA victoria utatengeneza ajira kwa vijana.Hii inatokana na kwamba ufugaji wa Samaki kama zilivyo kazi zingine itaweza kutengeneza ajira nyingi rasmi na zisizo rasmi kwa vijana wa mikoa hii hivyo kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja na kwak familia nzima na hivyo kuondokana na umaskini uliodumu kwa muda mrefu hivyo wananchi wa mikoa ya Shinyanaga na Tabora wachangamkie maji haya kutoka ZIWA victoria.
Ufugaji wa Samaki utaongeza makusanyo ya kodi katika mikoa husika .Hii itatokana na manunuzi ya maji kuwa makubwa hivyo serikali za hii mikoa pamoja na serikali kuu zitakuwa na makusanyo mazuri sana ya kodi na kuweza kuendesha shughuli zingine za kisekta.
Ufugaji wa Samaki itaweza kuboresha afya za watoto wazee na watu wote wa mikoa hii kwani samaki ni chanzo kikubwa sana cha protini pamoja na mafuta yake kuwa na uwezo mkubwaa wa kurekebisha afya ya moto na ubongo hivyo Shime wanashinyanga na na wanaTabora tuchangamkie fursa hii .
Itapunguza makundi ya kihalifu mitaani.Tumekuwa tukipambana na wahalifu wengi sana walioingia kwenye uhalifu kea sababu tofauti tofauti wengine kutokana na kukosa ajira au kazi za kufanya hivyo kupitia matumiziya mradi huu wa maji kufuga samaki aina ya sato ni jibu tisha kea tatizo la ajira kea vijana
Mabondo yatokanayo na samaki hutumika katika kutengeneza nyuzi za kushonea vidonda hospitali I.Hii itachochea zaidi katika ukuaji katika sekta ya afya na kuacha utegemezi wa kilaa kitu kutoka nje ya nchi.
Ufugaji wa Samaki aina ya sato katika mikoa hii itasaidia kuwepo na utoshelevu katika viwanda vyetu vya ndani kwani tukizalisha ziadi tutauza zaidi na fedha za kigeni zitakuwa nyingi zaidi na mwisho uchumi wetu kama nchi utakuwa mzuri zaidi hivyo wakazi wa Shinyanga na na Tabora tufugeni Samaki maji ndio hayo yamekuja tuache kukaa vijiweni muda wote.Samaki ni fursa.
Changamoto katika shughuli hii ya ufugaji wa Samaki kwa mikoa hii ni kama ilivyo kwa nchi nzima nazo ni:
Ukosefu wa mitaji ya uhakika kwa vijana . Ufugaji wa Samaki inahitaji mtaji kwani kuendesha shughuli hii inahitaji ufanye kazi kama za kuchimba bwawa,kuwepo na chakula cha samaki ,kuwepo kwa vifaranga wa Samaki nk haya yote yanahitaji sana mtaji hivyo kukiwepo mtaji wenye tija Hakika hili litafanikiwa na umaskini kwa mikoa hii iliyopitiwa na mradi huu hasa Shinyanaga na Tabora utakuwa umepungua kwa kiasi kikubwa.
Upungufu wa wataalamu wa Samaki.Hii ni changamoto nyingene inayotukabili kama taifa wataalamu hawa hasa katika ngazi ya Kata na vijiji ni hawapo ,hii inasababisha hamasa na elimu juu ya ufugaji wa Samaki na faida zake kutokujulikana kwa wananchi na hii hupelekea jambo hili kuchuliwa pasipo uzito wowote.
Kukosekana kwa mashamba darasa ya kutosha pamoja na sapoti ndogo ya serikali pia inafanya watu wa nchini hii kuiona kazi hii ni kama kazi ya ziada badala ya kiuchumi .
Mikoa ya Shinyanaga na Tabora inakabiliwa kuwa na maeneo mengi yenye Miundombinu mibovu ya barabara hii inaathari katika usafirishaji wa mazao maji haya kutoka shambani hadi sokoni na kutoka vituo vya kuzalishia vifaranga vya samaki kwenda kwenye mabwa yaliyoandaliwa kwaajili ya kazi hii ya ufugaji.
Njia zifuatazo zinaweza kutatua changamoto hizi endapo zitafanyiwa kazi na mradi huu wa maji toka ZIWA victoria ukainua ufugaji samaki kwa kutumia mabwawa au matangi katika mikoa hii.
Upatikanaji wa mitaji.Mitaji tunaweza kuipata kupitia NGOS,Jamii Pamoja na Mikopo ya Halmashauri hivyo vijana wenzangu tuunde vikundi tuandae mradi wetu kitaalamu halmashauri zetu zinatoa pesa zisizo na riba tena kwa mwaka mzima.Pia vijana tunaweza kwenda kuomba Msaada katika NGOs yeyote tuaiogope tutumie maji yetu haya kwaajili ya kujikwamua kiuchumi.
Serikali ipeleke maafisa na wataalamu wa Samaki hasa katika ngazi ya Kata na vijiji hii itasaidia kuwepo kwa elimu zaidi ya ufugaji wa Samaki kwa maeneo hayo kwani asilimia kubwa ya Ardhi yetu ni nzuri kwa shughuli yeyote ya kiuchumi ,Shime serikali tusaidiwni hili, wataalamu wapo wananchi wapo tayari kwaajili ya hili.
Uanzishwaji wa viwanda vikubwa na vidogo pamoja na vituo vya kuzalishia vifaranga vya samaki.Hii inatakaiwa iwe ya kiwango cha juu kwani uzalishaji wa Samaki wenye tijana unaenda sambamba na uwepo wa viwanda vya uhakika hivyo jina serikali yetu ya awamu ya sita lioneni hii.
Kuongezeka kwa mashamba darasa pamoja na viwanda vya chakula cha samaki nchini.Hii itasaidia kuongeza tija kwa wananchi ambao watakuwa wakifanya ufugaji huu kwa mikoa hii ya Shinyanaga na Tabora hivyo kupelekea maisha bora kwa watu wake.
Kurekebisha kwa Miundombinu ya barabara hizi za mikoa ya Shinyanaga na Tabora zinaweza kutatua changamoto katika usafirishaji wa vifaranga kutoka vituo vya kuzalishia kwenda kwenye mabwawa au matangi ya kufugia.
Pia Umeme unatakiwa ufike kwa haraka katika vijiji ambavyo bado havijafikiwa na umeme kwani nishati hii ni muhimu sana katika ufugaji wa Samaki kwani hutumika kuweka maji bwawani kupitia genereta pia hutumika kuongezea kiwango cha hewa ya oxijeni endapo kutakuwa na changamoto ya hewa hiyo bwawani.
Napendekeza yangu kea wakazi wa Shinyanaga na Tabora ni kuwa wachangamkie mradi huu kea kujikwamua kiuchumi kupitia ufugaji huu wa Samaki aina ya sato ambaye anafugwa vizuri sana kwa maji baridi hasa haya ya ZIWA victoria hivyo nawashauri vijana wenzangu tuungane pamoja bila ubinafsi wowote tutafute pesa hasa halmashauri tutumie nguvu zetu panapowezekana Ili kupunguza gharama za uendeshaji pia tuwatafute wataalamu watupatie elimu na mahitaji yote ya ufugaji huu wa Sato tushikamane vilivyo tuweze kujikwamua kiuchumi hasa kipindi hiki cha changamoto za ajira nchini.
Mwisho napenda kuwaomba Viongozi wote wakiwemo wabunge wanaopitiwa na mradi huu wa maji toka ZIWA victoria wawasapoti vijana wao kwa hali na mali hii itachangia kwa kiasi kikubwa kubadilisha hali zao na za familia zao,Shime waheshimiwa wote wa Shinyanaga na Tabora tunaomba muwasapoti vijana wenu katika hili.
Marejeo....Hotuba mbalimbali za Viongozi wa kitaifa kuhusiana na mradi wa maji toka ZIWA victoria kwenda Tabora pamoja na gharama za Mradi ambazo ni zaidi ya Billion 600.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
MUNGU MBARIKI RAIS WETU.
Mawasiliano nambari ya simu:0626763400
:0788796061
Baruapepe: maryngodoki87@gmail.com

Attachments
Upvote
0