Pre GE2025 Vijana na sie tujiandae mwakani kuweka Rais wetu

Pre GE2025 Vijana na sie tujiandae mwakani kuweka Rais wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu mabadiliko hayaji kwa humu kwenye soft landing,Senegalese wametoa jasho la damu kuleta yale mabadiliko,Sio blah blah za humu JF
Kitu ambach watz hawataki kukisikia, manadiliko yanapiganiwa, sio luwa nyima ya keyboard hala nje hutoki
 
Rais akiwa kijana kuna risk kubwa ya kung'ang'ania madarakani, Rais inatakiwa awe angalau na miaka kuanzia tunaheshimu

Rais akiwa kijana kuna risk kubwa ya kung'ang'ania madarakani, Rais inatakiwa awe angalau na miaka kuanzia 65.
Tunaheshimu mawazo yako, lkn hatufanyi mkono
1-wewe unaweza usiwe kijana na ukatumia fimbo hii kuwaadhibu vijana
2-Suala la kunga'nga'nia madaraka haitokani sana na umri bali, Tabia za ulafi, ubinafsi, mifumo mbovu na usimamizi mbaya wa sheria na taratibu
3-lazima utofautishe Ujana na Utoto, kuna watu wana 65+ lkn hata ukimuweka kwenye ujana hajai na kinyume chake ni sahihi.
Nk.
 
Mfano mzuri ni AWESU wa Maji ni mihemko na mwizi mkubwa. Kazi kudanganya waliomteua kupitia media
Hawa watu wa Ijumaa ni waongo sn, bahati mbaya maza anateswa na udini haoni wala hasikii, angalia Ummy ni takataka kabisa
 
Rais akiwa kijana kuna risk kubwa ya kung'ang'ania madarakani, Rais inatakiwa awe angalau na miaka kuanzia 65.
Kama wapiga kura sisi ni vijana hatuko tayari kupigia wazee. Mbona Museveni na wengine wanang'ang'ania na si vijana? Hapo umenoa
 
Vijana na tuliozaliwa familia masikini hatufai kuwa viongozi. Maskin hawatabiriki.

Tuwachagueni akina riz, makongoro na wanu.
Tunataka vijana maskini kama sisi... Hatutachagua hao wa kwako
 
Hata Kabila jr aliingia ikulu akiwa na 32 tu
Ndio tunarudi kule kule,ujana sio sifa vinginevyo Haina tofauti na zile shutuma mnampa Jokate aliposema wanawake Waanze kuchagua wanawake wenzao.

Mwisho hakuna Cha maana nimeona watu wa upinzani wanafanya from experience ya hao waliotangulia na conclusion yangu ni kwamba hakuna mwanasiasa atakupa hela au ugali.

Mimi nitafanga siasa kama nanufaika ila kama sipo Sina huo ujinga,nyumbu ndio wajatumikishwe.
 
Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii...

Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa.

Wananchi hawakuona hizo kama ni changamoto wakamuingiza madarakani aliyekuwa mtoza ushuru, Faye.

Aidha, Ireland nao ni wiki hii wamemteua kijana wa miaka 37 kama waziri mkuu. Kijana mwenyewe hata chuo kikuu hakwenda, alienda kuripoti tu na kuondoka.

Sasa basi kwa kuanzia na uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu vijana wa miaka ya 1980 tutawashangaza.

Pia uchaguzi mkuu mwakani tuhamasishane tuweke mgombea wetu atatue changamoto zinazotukabili kama ajira, ulevi WA pombe kali, usimamizi wa madini na resources nyingine na kudharauliwa.

Tumechoka kuambiwa kusubiri, eti vijanav taifa la kesho. Hatuwezi tena kuongozwa na umri mkubwa usiobadili maisha ya watanzania

Wakati ni SASA kwa vijana kuchukua nafasi zote za uongozi kwenye vyama vyote vya siasa nchini. Wazee wametufikisha tulipofika na sasa ni muda wetu kuongoza nchi ili kuendana na speed ya maendeleo ya sayansi na teknolojia.
 
Mbona kama umepaniki kaka? Tumesema vijana wa chini ya miaka 45 tunataka kuweka wagombea kwwnye chaguzi za mwaka huu na mwakani. Wanawake nao wameshaanza kuhamasishana na sisi kuna ubaya gani kuanza kuhamasishana? Wazee mmeishiwa na mbinu za kuleta maendeleo hapa nchini. Kila kitu mwekezaji tu. Basi funga mashule yote kama hayatuandalii wakurugenzi wa makampuni mpaka kuwe na uhitaji kutoka mashariki ya mbali
Kwa nini ni panic? Mimi mwenyewe Niko kwenye umri wa chini ya 40.Siwezi kusapoti hoja kisa ujana ,kwanza mavijana Wana mihemko na ego na ni most likely kuwa wezi Kwa sababu wanajitafuta.

Tzn sio Ulaya ambako Wana mifumo thabiti.By the way Afrika inahitaji Strongmen na strong institutions kwa.pamoja Kwa sababu bado tuna viwango vidogo sana vya ustaarabu na Maadili.
 
Ndio tunarudi kule kule,ujana sio sifa vinginevyo Haina tofauti na zile shutuma mnampa Jokate aliposema wanawake Waanze kuchagua wanawake wenzao.

Mwisho hakuna Cha maana nimeona watu wa upinzani wanafanya from experience ya hao waliotangulia na conclusion yangu ni kwamba hakuna mwanasiasa atakupa hela au ugali.

Mimi nitafanga siasa kama nanufaika ila kama sipo Sina huo ujinga,nyumbu ndio wajatumikishwe.
Wew hujua hata influence/impact ya siasa kwenye maisha yako. Kaa pembeni.
 
Rais akiwa kijana kuna risk kubwa ya kung'ang'ania madarakani, Rais inatakiwa awe angalau na miaka kuanzia 65.
Nani kasema wewe sheria zipo na zitafutwa kwenye swala hili la kutafuta viongozi vijana naunga mkono hoja..
 
Machawa watajipenyeza kwenye kila chama halafu mwishoniii yanajitoa
 
Katiba hii mbovu uweke rais Hawa vijana wetu wanasifa!!
Hatuna kijana mwenye vibusara tatizo... Akili vijana wazee yaleyale lkn busara ndo vijana wanakosa zaid!!
Unataka Rais aanze kukesha kidimbwii au kuwapa yeo mademu zake vyeo.
 
Kwa nini ni panic? Mimi mwenyewe Niko kwenye umri wa chini ya 40.Siwezi kusapoti hoja kisa ujana ,kwanza mavijana Wana mihemko na ego na ni most likely kuwa wezi Kwa sababu wanajitafuta.

Tzn sio Ulaya ambako Wana mifumo thabiti.By the way Afrika inahitaji Strongmen na strong institutions kwa.pamoja Kwa sababu bado tuna viwango vidogo sana vya ustaarabu na Maadili.
Mwizi ni mwizi tu hata kama ana miaka 100... Tunaenda na vijana. Hata mimi nitakuwa mgombea. Vijana naomba tusapotiane
 
Katiba hii mbovu uweke rais Hawa vijana wetu wanasifa!!
Hatuna kijana mwenye vibusara tatizo... Akili vijana wazee yaleyale lkn busara ndo vijana wanakosa zaid!!
Unataka Rais aanze kukesha kidimbwii au kuwapa yeo mademu zake vyeo.
Wazee ndio walikuwa wanatuambia kama mnataka maendeleo nileteeni mgombea fulani. Kama hiyo ndio busara ya wazee unayoizungumza vijana hatuitaki. Tunataka kuendesha gari wenyewe. Tumechoka kuwa kondakta au utingo
 
Wazee wa miaka 70 plus hawawezi kujua changamoto wanazopitia vijana. Wao hela, ajira wanavyo. Changamoto Yao Ni afya na nguvu za kiume.
 
Wew hujua hata influence/impact ya siasa kwenye maisha yako. Kaa pembeni.
Wewe unajua? Hizo ni stori za wajinga Ili muwakamate nyumbu.Wenye pesa wanatumia hela kuleta kile wanachotaka na sio stori za majukwaani kudanganya wajinga.

Umewahi ona wenye pesa wanaandamana sijui wanaenda kwenye mikutano ya Wanasiasa?

Mimi natumia mda wangu kutafuta pesa Ili nyie Wanasiasa njaa mje kwangu kukopa hela baadae nipate madili au mpitishe mambo yenu kwangu ila sio kwenda kuwapigia sijui kura sijui kuandamana hiyo ni wajibu wa maskini wasiojitambua ambao wanadhani mwanasiasa atawaletea maisha Bora 😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom