Pre GE2025 Vijana na sie tujiandae mwakani kuweka Rais wetu

Pre GE2025 Vijana na sie tujiandae mwakani kuweka Rais wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe unajua? Hizo ni stori za wajinga Ili muwakamate nyumbu.Wenye pesa wanatumia hela kuleta kile wanachotaka na sio stori za majukwaani kudanganya wajinga.

Umewahi ona wenye pesa wanaandamana sijui wanaenda kwenye mikutano ya Wanasiasa?

Mimi natumia mda wangu kutafuta pesa Ili nyie Wanasiasa njaa mje kwangu kukopa hela baadae nipate madili au mpitishe mambo yenu kwangu ila sio kwenda kuwapigia sijui kura sijui kuandamana hiyo ni wajibu wa maskini wasiojitambua ambao wanadhani mwanasiasa atawaletea maisha Bora 😆😆😆😆
Wew mwenye pesa umejenga barabara ya lami km ngapi?

Pesa yako inaweza kukusaidia kujenga nyumba nzuri na kununua gari nzuri lakini serikali inahakikisha una barabara nzuri na miundombinu ya maji ya uwakika.

Unaweza ukawa na uwezo mzuri wa kumsomesha mwanao ila serikali ikakuamulia mwanao asome nini.

Kumbuka: Maisha mazuri ni zaidi ya kuwa na pesa.
 
Vijana wa nchi hii bila kujali vitisho Wala chochote tujiandae kisaikolojia kumweka kijana pale ikulu hizi porojo zingine tuachane nazo, haiwezekani vijana tena wasomi tunaishia kuwa MACHAWA na kulinda Mali za wazee tena hata hawatuhusu piga chini Kila kitu tuchukure urais najua Kuna watu watakerwa kwakuwa vijana ni nguvu inayoogopwa sana sema haijajitambua bado
 
Huyo sio ww kwanza ila kwa kuwa wengi wenu ni nyumbu ndio maana mnazuzuka.
-Andry Rajoelina aliingia akiwa na miaka 34 tuu hapo Madagascar,Sasa uliza kama hao Vijana walipata walichokitaka.

-Pili wapo waliopindua wako huko Burkinafso Wana miaka 37 wanapiga porojo za Putin tuu hakuna Cha maana wanafanya.

Kiufupi ni mpumbavu pekee ndie ataendelea kutumiwa na Wanasiasa.Serikali haigawi pesa na Kuongoza Nchi sio sawa na familia.


Mwisho huyu bwana ni kivuli wa Sokko na sio mwenye njaa wamefanya kazi huko TRA ya Senegal baada ya kushiba na kuzibuna ndio wakaingia kwenye siasa.

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1772458532152963253?t=jKUhdRJBGDvkKGBEgn8brQ&s=19

Mamia ya watu wamekufa Hadi Sasa ila Kwa upumbavu wao,eti unampigania mwanasiasa.

Mwisho mavijana mengi ni mihemko,hawafai kabisa Tanznaia Hatuwezi kubali kufanyiwa majaribio maisha yetu.

Te teh teh unaogoba biashara yako kufa hapo dodomabaa
 
Back
Top Bottom