Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Kitu ambach watz hawataki kukisikia, manadiliko yanapiganiwa, sio luwa nyima ya keyboard hala nje hutokiMkuu mabadiliko hayaji kwa humu kwenye soft landing,Senegalese wametoa jasho la damu kuleta yale mabadiliko,Sio blah blah za humu JF
Rais akiwa kijana kuna risk kubwa ya kung'ang'ania madarakani, Rais inatakiwa awe angalau na miaka kuanzia tunaheshimu
Tunaheshimu mawazo yako, lkn hatufanyi mkonoRais akiwa kijana kuna risk kubwa ya kung'ang'ania madarakani, Rais inatakiwa awe angalau na miaka kuanzia 65.
Hawa watu wa Ijumaa ni waongo sn, bahati mbaya maza anateswa na udini haoni wala hasikii, angalia Ummy ni takataka kabisaMfano mzuri ni AWESU wa Maji ni mihemko na mwizi mkubwa. Kazi kudanganya waliomteua kupitia media
Kama wapiga kura sisi ni vijana hatuko tayari kupigia wazee. Mbona Museveni na wengine wanang'ang'ania na si vijana? Hapo umenoaRais akiwa kijana kuna risk kubwa ya kung'ang'ania madarakani, Rais inatakiwa awe angalau na miaka kuanzia 65.
Tunataka vijana maskini kama sisi... Hatutachagua hao wa kwakoVijana na tuliozaliwa familia masikini hatufai kuwa viongozi. Maskin hawatabiriki.
Tuwachagueni akina riz, makongoro na wanu.
Vijana wa kidigitali ππJiwe aliwaamini vijana lkn matokeo yake sote tuliona nin kilitokea.
kwa Tz vijana bado sana tuendelee tu na hao hao wazee.
Ndio tunarudi kule kule,ujana sio sifa vinginevyo Haina tofauti na zile shutuma mnampa Jokate aliposema wanawake Waanze kuchagua wanawake wenzao.Hata Kabila jr aliingia ikulu akiwa na 32 tu
Naunga mkono hoja kwa 100%. Ujana usitumike kama sifa ya kuwa kiongozi.Ndio tunarudi kule kule,ujana sio sifa vinginevyo Haina tofauti na zile shutuma mnampa Jokate aliposema wanawake Waanze kuchagua wanawake wenzao
Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii...
Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa.
Wananchi hawakuona hizo kama ni changamoto wakamuingiza madarakani aliyekuwa mtoza ushuru, Faye.
Aidha, Ireland nao ni wiki hii wamemteua kijana wa miaka 37 kama waziri mkuu. Kijana mwenyewe hata chuo kikuu hakwenda, alienda kuripoti tu na kuondoka.
Sasa basi kwa kuanzia na uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu vijana wa miaka ya 1980 tutawashangaza.
Pia uchaguzi mkuu mwakani tuhamasishane tuweke mgombea wetu atatue changamoto zinazotukabili kama ajira, ulevi WA pombe kali, usimamizi wa madini na resources nyingine na kudharauliwa.
Tumechoka kuambiwa kusubiri, eti vijanav taifa la kesho. Hatuwezi tena kuongozwa na umri mkubwa usiobadili maisha ya watanzania
Wakati ni SASA kwa vijana kuchukua nafasi zote za uongozi kwenye vyama vyote vya siasa nchini. Wazee wametufikisha tulipofika na sasa ni muda wetu kuongoza nchi ili kuendana na speed ya maendeleo ya sayansi na teknolojia.Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii...
Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa.
Wananchi hawakuona hizo kama ni changamoto wakamuingiza madarakani aliyekuwa mtoza ushuru, Faye.
Aidha, Ireland nao ni wiki hii wamemteua kijana wa miaka 37 kama waziri mkuu. Kijana mwenyewe hata chuo kikuu hakwenda, alienda kuripoti tu na kuondoka.
Sasa basi kwa kuanzia na uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu vijana wa miaka ya 1980 tutawashangaza.
Pia uchaguzi mkuu mwakani tuhamasishane tuweke mgombea wetu atatue changamoto zinazotukabili kama ajira, ulevi WA pombe kali, usimamizi wa madini na resources nyingine na kudharauliwa.
Tumechoka kuambiwa kusubiri, eti vijanav taifa la kesho. Hatuwezi tena kuongozwa na umri mkubwa usiobadili maisha ya watanzania
Kwa nini ni panic? Mimi mwenyewe Niko kwenye umri wa chini ya 40.Siwezi kusapoti hoja kisa ujana ,kwanza mavijana Wana mihemko na ego na ni most likely kuwa wezi Kwa sababu wanajitafuta.Mbona kama umepaniki kaka? Tumesema vijana wa chini ya miaka 45 tunataka kuweka wagombea kwwnye chaguzi za mwaka huu na mwakani. Wanawake nao wameshaanza kuhamasishana na sisi kuna ubaya gani kuanza kuhamasishana? Wazee mmeishiwa na mbinu za kuleta maendeleo hapa nchini. Kila kitu mwekezaji tu. Basi funga mashule yote kama hayatuandalii wakurugenzi wa makampuni mpaka kuwe na uhitaji kutoka mashariki ya mbali
Wew hujua hata influence/impact ya siasa kwenye maisha yako. Kaa pembeni.Ndio tunarudi kule kule,ujana sio sifa vinginevyo Haina tofauti na zile shutuma mnampa Jokate aliposema wanawake Waanze kuchagua wanawake wenzao.
Mwisho hakuna Cha maana nimeona watu wa upinzani wanafanya from experience ya hao waliotangulia na conclusion yangu ni kwamba hakuna mwanasiasa atakupa hela au ugali.
Mimi nitafanga siasa kama nanufaika ila kama sipo Sina huo ujinga,nyumbu ndio wajatumikishwe.
Nani kasema wewe sheria zipo na zitafutwa kwenye swala hili la kutafuta viongozi vijana naunga mkono hoja..Rais akiwa kijana kuna risk kubwa ya kung'ang'ania madarakani, Rais inatakiwa awe angalau na miaka kuanzia 65.
Mwizi ni mwizi tu hata kama ana miaka 100... Tunaenda na vijana. Hata mimi nitakuwa mgombea. Vijana naomba tusapotianeKwa nini ni panic? Mimi mwenyewe Niko kwenye umri wa chini ya 40.Siwezi kusapoti hoja kisa ujana ,kwanza mavijana Wana mihemko na ego na ni most likely kuwa wezi Kwa sababu wanajitafuta.
Tzn sio Ulaya ambako Wana mifumo thabiti.By the way Afrika inahitaji Strongmen na strong institutions kwa.pamoja Kwa sababu bado tuna viwango vidogo sana vya ustaarabu na Maadili.
Wazee ndio walikuwa wanatuambia kama mnataka maendeleo nileteeni mgombea fulani. Kama hiyo ndio busara ya wazee unayoizungumza vijana hatuitaki. Tunataka kuendesha gari wenyewe. Tumechoka kuwa kondakta au utingoKatiba hii mbovu uweke rais Hawa vijana wetu wanasifa!!
Hatuna kijana mwenye vibusara tatizo... Akili vijana wazee yaleyale lkn busara ndo vijana wanakosa zaid!!
Unataka Rais aanze kukesha kidimbwii au kuwapa yeo mademu zake vyeo.
Kwa nini Tanzania na si nchi nyingine kama Senegal?Machawa watajipenyeza kwenye kila chama halafu mwishoniii yanajitoa
Wewe unajua? Hizo ni stori za wajinga Ili muwakamate nyumbu.Wenye pesa wanatumia hela kuleta kile wanachotaka na sio stori za majukwaani kudanganya wajinga.Wew hujua hata influence/impact ya siasa kwenye maisha yako. Kaa pembeni.
ππMwizi ni mwizi tu hata kama ana miaka 100... Tunaenda na vijana. Hata mimi nitakuwa mgombea. Vijana naomba tusapotiane