Pre GE2025 Vijana na sie tujiandae mwakani kuweka Rais wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wew mwenye pesa umejenga barabara ya lami km ngapi?

Pesa yako inaweza kukusaidia kujenga nyumba nzuri na kununua gari nzuri lakini serikali inahakikisha una barabara nzuri na miundombinu ya maji ya uwakika.

Unaweza ukawa na uwezo mzuri wa kumsomesha mwanao ila serikali ikakuamulia mwanao asome nini.

Kumbuka: Maisha mazuri ni zaidi ya kuwa na pesa.
 
Vijana wa nchi hii bila kujali vitisho Wala chochote tujiandae kisaikolojia kumweka kijana pale ikulu hizi porojo zingine tuachane nazo, haiwezekani vijana tena wasomi tunaishia kuwa MACHAWA na kulinda Mali za wazee tena hata hawatuhusu piga chini Kila kitu tuchukure urais najua Kuna watu watakerwa kwakuwa vijana ni nguvu inayoogopwa sana sema haijajitambua bado
 
Te teh teh unaogoba biashara yako kufa hapo dodomabaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…