Vijana na wazee mliopo kwenye ndoa msipende kujibu SMS za michepuko zinazotokea juu ya Screen

Vijana na wazee mliopo kwenye ndoa msipende kujibu SMS za michepuko zinazotokea juu ya Screen

Na mimi nafanya hivyo kukwepa ugomvi na watu.

Nb. sina michepuko 😄
kwa wewe sina mashaka kabisaa 😅😅 unaaminika sana.. huna makeke labda kama nyuma ya pazia una movie zingine
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Ni kweli aisee. Mm nilishawah kukutwa na Text mbili zili pop-up kwenye screen juu, Moja ya Boss alikua anakumbusha majukumu Fulani na nyingine ilikua ni ya Ex. Nikataka nimjibu yule ex aache Shobo maana alikua ananisumbua Sana akitaka turudiane na akiniahidi kujizalia watoto wazuri Sana. So nikamjibu " Acha Shobo" kumbe ilienda kwa Boss. Kilichofatia n Simanzi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji19]
Na Boss mwenyewe awe "Nshomire" [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen.

Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke katuma sms na mchepuko katuma sms papo hapo nikajibu kwa mchepuko nikikumbushia tulivyo enjoy guest kumbe inaenda kwa wife [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nisingizie mimi ndio nilitumia simu yako kumjibu mchepuko wangu.
 
Kama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen.

Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke katuma sms na mchepuko katuma sms papo hapo nikajibu kwa mchepuko nikikumbushia tulivyo enjoy guest kumbe inaenda kwa wife [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Yalishawah kunikuta hayo nlikua machat na mademu wawil kwa wakat mmoja huku nikiangalia movie kwny cm
 
Back
Top Bottom