Vijana na wazee mliopo kwenye ndoa msipende kujibu SMS za michepuko zinazotokea juu ya Screen

Na mimi nafanya hivyo kukwepa ugomvi na watu.

Nb. sina michepuko πŸ˜„
kwa wewe sina mashaka kabisaa πŸ˜…πŸ˜… unaaminika sana.. huna makeke labda kama nyuma ya pazia una movie zingine
 
Na Boss mwenyewe awe "Nshomire" [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nisingizie mimi ndio nilitumia simu yako kumjibu mchepuko wangu.
 
Yalishawah kunikuta hayo nlikua machat na mademu wawil kwa wakat mmoja huku nikiangalia movie kwny cm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…