Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kwa mijengo inayoshushwa kibaha Sasa hivi muda sio mrefu viwanja vitakua havishikiki na mtanikumbuka aisee nimetembelea Jana Kila maeneo ni ujenzi tu unaendelea yaani muda sio mrefu ardhi itakua gharama sana kibaha na watu hawatoamini mda haurudi nyuma vijana narudia tena nunueni viwanja kibaha nzima inajengeka tu now