Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 1,236
- 2,060
Kwanza ukijenga huzikwi na nyumbaTangu nihamie huku Latinos, wazo la kujenga limekufa kabisa. Latinos idumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza ukijenga huzikwi na nyumbaTangu nihamie huku Latinos, wazo la kujenga limekufa kabisa. Latinos idumu
ImagineKwanza ukijenga huzikwi na nyumba
Bora kulipa Kodi😹😹ila Sasa tatizo linakuja ukiwa marehemu afu huna mjiImagine
Aaliyyah acha uchoyo yupe viwanja hivyo bwana.Kwa mijengo inayoshushwa kibaha Sasa hivi muda sio mrefu viwanja vitakua havishikiki na mtanikumbuka aisee nimetembelea Jana Kila maeneo ni ujenzi tu unaendelea yaani muda sio mrefu ardhi itakua gharama sana kibaha na watu hawatoamini mda haurudi nyuma vijana narudia tena nunueni viwanja kibaha nzima inajengeka tu now
Mkuu ushatembea nje ya kibaha? Usije ukawa unaishi hapo ukadhani ndo nchi imeisha.Kwa mijengo inayoshushwa kibaha Sasa hivi muda sio mrefu viwanja vitakua havishikiki na mtanikumbuka aisee nimetembelea Jana Kila maeneo ni ujenzi tu unaendelea yaani muda sio mrefu ardhi itakua gharama sana kibaha na watu hawatoamini mda haurudi nyuma vijana narudia tena nunueni viwanja kibaha nzima inajengeka tu now
Huna akili timamu mzee kwahiyo mtu aache kununu sehemu inayoendelea Kwa Kasi aende kununua porini kisa eti tanzania Kuna maeneo mengiMkuu ushatembea nje ya kibaha? Usije ukawa unaishi hapo ukadhani ndo nchi imeisha.
Bado tunamaeneo mengi sana, himiza hela zitafutwe hata bahari itahamishwa.
Sio kweliUsisahau kibaha, bagamoyo ndio makazi ya matapeli wa viwanja na mashamba
Mkuu Mkoa wa Pwani woote sasa Deal.Dar imepasuka....Pwani itabeba mzigo huo Dar luwa Mega CityKwa mijengo inayoshushwa kibaha Sasa hivi muda sio mrefu viwanja vitakua havishikiki na mtanikumbuka aisee nimetembelea Jana Kila maeneo ni ujenzi tu unaendelea yaani muda sio mrefu ardhi itakua gharama sana kibaha na watu hawatoamini mda haurudi nyuma vijana narudia tena nunueni viwanja kibaha nzima inajengeka tu now
Aisee kweli mkuuMkuu Mkoa wa Pwani woote sasa Deal.Dar imepasuka....Pwani itabeba mzigo huo Dar luwa Mega City
Kabisa mkuuKibaha ni sehemu nzuri Sana , kimakazi, kiviwanda n.k
Wazo lako ni zuri .
Sio kweliHuko kwa watekaji?
Huoni matukio ya kutekana tekana yanazidi kutoka huko mkuuSio kweli
Hao wanajuana hamna anaetekwaHuoni matukio ya kutekana tekana yanazidi kutoka huko mkuu