Vijana nawashauri kanunueni viwanja kibaha mtanikumbuka

Kwa kibaha ipi naweza pata 20 kwa 20 kwa bei ya wapambanaji?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Usisahau kibaha, bagamoyo ndio makazi ya matapeli wa viwanja na mashamba
 
Aaliyyah acha uchoyo yupe viwanja hivyo bwana.
 
Mkuu ushatembea nje ya kibaha? Usije ukawa unaishi hapo ukadhani ndo nchi imeisha.

Bado tunamaeneo mengi sana, himiza hela zitafutwe hata bahari itahamishwa.
 
Mkuu ushatembea nje ya kibaha? Usije ukawa unaishi hapo ukadhani ndo nchi imeisha.

Bado tunamaeneo mengi sana, himiza hela zitafutwe hata bahari itahamishwa.
Huna akili timamu mzee kwahiyo mtu aache kununu sehemu inayoendelea Kwa Kasi aende kununua porini kisa eti tanzania Kuna maeneo mengi
 
Mkuu Mkoa wa Pwani woote sasa Deal.Dar imepasuka....Pwani itabeba mzigo huo Dar luwa Mega City
 
Waambie wasikie hawakusikia kipindi kile kinyerezi viwanja milioni mbili tena kwa malipo ya awamu leo bila milioni 40 upati kiwanja cha maana kinyerezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…