Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu.
Napenda kuwaasa wanakujwaa la JF kupendekeza majina ya wadau hasa vijana vichwa walio nje ya Nchi ambao wanaweza kuwa na manufaa makubwa kwa taifa la Tanzania. Naomba majina 10 tu ya vijana walio na nafasi kubwa nchi za nje na wenye uwezo mkubwa ambao wanaweza kuchangia katika maendeleo ya haraka. Elimu, Uchumi, Teknolojia, Tiba na Kilimo.
Mmi kwa Upande Wangu wakwanza kabisa, nampendekeza.
1. Hasan Saudin (US-Blogger) kwa wana mitandao, huyu Jamaa ni kichwa haswaa. Huyu kijana siyo wa kawaida. Huyu ndio mtu pekee aliyeweza kumdhibiti Kijana mmoja aliyetusumbua sana kwenye mitandao ambaye anafanya kazi kwenye taasisi za fedha huko Marekani (Bank of America) kama sikosei. Mwana Bloga Michuzi anaweza kutusaidia kupata jina lake au LEMUTUZZ.
2. Hildebrand Shayo: Huyu ni mwalimu wa uchumi moja ya vyuo vikuu nchini uingereza. Amekuwa mstari wa mbele kuhelemisha umma kupitia makala yaka patika makagazeti tofauti humu nchini. Ni mchapa kazi ingawa kwa sasa hajulikani halipo. Anaweza kusaidia katika mambo ya kiuchumi
3. Mange Kimambi: Ni wachache wasiomjua Mange Kimambi, na hii ni ishara tosha kwamba ana mchango mkubwa katiba taifa letu. Mange hana elimu kama za wakina Dr. Shayo etc, lakini anaweza kuleta mabadiliko makubwa kutokana na ushawishi wake. She is very influential hasa kwa wadada. Angefaa sana sector ya sanaa na habari. hata kuwa kitengo cha propaganda, ila kwa sababu ulimvua mfalme juha uchi, sidhani atabaki salama akikanyaga ardhi ya Tanzania. Kwa mujibu wa Loveness Mamuya, kumsitiri Mfalme Juha, walilazimika ku mcompromise , lakini kwa kifupi, Mange ana potential kubwa sana kwa taifa letu
Hassan kama sikosei ni mchumi na anafanya kazi na State ya Georgia nchini Marekani kama Mchumi. Huyu kijana yuko vizuri kichwani na michango yake yanaweza kuwa ya faida kubwa sana kwa taifa la Tanzania. Nampendekeza wakwanza Kabisa.
NASUBIRI MAJINA MENGINE