Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

Wapo waliokuwa diaspora na walifanya kazi katika makampuni makubwa. Lakini waliporudi nyumbani na kupata kazi walivurunda vibaya na kuanza ufisadi.
Sisi waafrika ubinfsi ni dna yetu. Wakiwa nje wanafanya vizuri kwa sababu ya mifumo iliyopo na hakuna mwanya wa rushwa. Hakuna njia ya ku shine zaidi ya kupiga kazi!
Lakini hapa nyumbani ni a different ball game!!
 
Kuna vijana wazuri tu huko nje wamejaaa wengi tu na huko ndani pia wapo ila kwa masikitiko wengine wanatupiga mchana kweupe..ninavyofahamu hilo la kuangalia diaspora litakuwa gumu kwani hali huku tz kidogo imekaa vibaya hasa kiutawala
 
Mbona kuna diaspora wengi waliletwa awamu iliyopita wakashindwa endana na awamu ya Loudspeaker.
 
Naweza kufikwa na mauti bila kujua kosa la January na Nape. Labda mniambie kuna makosa hatia yake iko mikononi mwa hakimu.
 
Kipimo cha ujana Tz ni nini? Kigwa, January and Nape wote hao ni above 45yrs, unaweza kuwaweka kundi la vijana hao? And mtu kama January ni kitu gani alikosea katika majukumu yake ya uwaziri? Kilichomponza ni kumzidi Mkulu kwa kila kitu na kujaribu kumtetea baba yake aliposhambuliwa na taahira Cyprian.
Hahaha! ila mkuu siku hizi mambo yamebadilika uzee siyo umri tena,bali ni mpaka uonekane mzee.
Ukijiweka kidingi dingi, mambo ya kikoloni(living in the past)kwa wingi nini,utaitwa dingi tu hata kama una blw 34...Imagine mtu kama January unamuita dingi, si unamkosea heshima mkuu?
 
Jiwe ni muoga wa vijana smart anawaundia zengwe kabaki na misukule yakina mwigulu akiitukana inasema asante tusi zuri
Hivi ni nini kimemkuta Mwigulu awamu hii? Kawa fala sana jamaa
 
Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu

Napenda kuwaasa wanakujwaa la JF kupendekeza majina ya wadau hasa vijana vichwa walio nje ya Nchi ambao wanaweza kuwa na manufaa makubwa kwa taifa la Tanzania. Naomba majina 10 tu ya vijana walio na nafasi kubwa nchi za nje na wenye uwezo mkubwa ambao wanaweza kuchangia katika maendeleo ya haraka. Elimu, Uchumi, Teknolojia, Tiba na Kilimo

Mmi kwa Upande Wangu wakwanza kabisa, nampendekeza

1. Hasan Saudin (US-Blogger) kwa wana mitandao, huyu Jamaa ni kichwa haswaa. Huyu kijana siyo wa kawaida. Huyu ndio mtu pekee aliyeweza kumdhibiti Kijana mmoja aliyetusumbua sana kwenye mitandao ambaye anafanya kazi kwenye taasisi za fedha huko Marekani (Bank of America) kama sikosei. Mwana Bloga Michuzi anaweza kutusaidia kupata jina lake au LEMUTUZZ. Hassan kama sikosei ni mchumi na anafanya kazi na State ya Georgia nchini Marekani kama Mchumi. Huyu kijana yuko vizuri kichwani na michango yake yanaweza kuwa ya faida kubwa sana kwa taifa la Tanzania. Nampendekeza wakwanza Kabisa

Nitachukua majina kutona na michango yenu......

Mkuu bandiko lako ni Zuri sana sana
Ila jua jus walio nje Diaspora wengi sio Ma Professor na Ma Dr!
Hawa ma Academicia mkulu ndio anawapenda!
Ila Diaspora wanegeweza kuendesha vema Kabisa Uchumi wetu kama alivyofanya JK kuwaita Diaspora kuongiza Mashirika kama TIC yuke Dada,TPDC Dr.James Mataragio,Rashid badi,Juliet Kairuki sijui,nk nk,
Mi naanza na Haya Mashirika yetu ya Umma yanatakuwa kuongozwa na Diaspora kabisa watu ambao wana Exposure zaidi,
Mashirika kama Tanesco,Nssf,Bandari,Reli,Tpdc hili tayari yupo Diaspora),Tirdo,Tbs nk!
Diaspora wana chama chao ukimpata mmoja ni rahisi kuwafahamu na wengine,
Unaweza kuwatafuta kwanza hao niliokutajia ili wakuunganishe na wenzao halafu wafanyiwe Vetting!
Angalizo achana na Mambo ya Uzalendo Mkuu,
Je kuna Utayari wa Kuwalipa?
Huko walipo inawezekana wakawa wanalipwa hela Nzuri tuu kama Usd $ za Kueleweka tuu Je tupo Tayari kuwalipa kiasi kama hicho?
 
Hahaha! ila mkuu siku hizi mambo yamebadilika uzee siyo umri tena,bali ni mpaka uonekane mzee.
Ukijiweka kidingi dingi, mambo ya kikoloni(living in the past)kwa wingi nini,utaitwa dingi tu hata kama una blw 34...Imagine mtu kama January unamuita dingi, si unamkosea heshima mkuu?
Hahaha! Sawa kaka. Le mutuz naye vipi, maana ni rika la Magufuli lakini mara nyingi huwa naona watu wanamweka kundi la vijana
 
Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu

Napenda kuwaasa wanakujwaa la JF kupendekeza majina ya wadau hasa vijana vichwa walio nje ya Nchi ambao wanaweza kuwa na manufaa makubwa kwa taifa la Tanzania. Naomba majina 10 tu ya vijana walio na nafasi kubwa nchi za nje na wenye uwezo mkubwa ambao wanaweza kuchangia katika maendeleo ya haraka. Elimu, Uchumi, Teknolojia, Tiba na Kilimo

Mmi kwa Upande Wangu wakwanza kabisa, nampendekeza

1. Hasan Saudin (US-Blogger) kwa wana mitandao, huyu Jamaa ni kichwa haswaa. Huyu kijana siyo wa kawaida. Huyu ndio mtu pekee aliyeweza kumdhibiti Kijana mmoja aliyetusumbua sana kwenye mitandao ambaye anafanya kazi kwenye taasisi za fedha huko Marekani (Bank of America) kama sikosei. Mwana Bloga Michuzi anaweza kutusaidia kupata jina lake au LEMUTUZZ. Hassan kama sikosei ni mchumi na anafanya kazi na State ya Georgia nchini Marekani kama Mchumi. Huyu kijana yuko vizuri kichwani na michango yake yanaweza kuwa ya faida kubwa sana kwa taifa la Tanzania. Nampendekeza wakwanza Kabisa

Nitachukua majina kutona na michango yenu......
Wazo lako hukutafakari zaidi kabla ya kuliwakilisha. Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kukubali kuacha shughuli yake yenye future kuja kuitikia teuzi ambayo hawezi tumia weledi wake. Teuzi za nchi za dunia ya tatu ni kutekeleza lile uonalo aliekuteua atafurahi, hata kama ni kuwavua nguo watoto wa kike na kuwakagua kama wanavaa chupi, na kuwacharaza mboko wale ambao hawakuvaa.
 
Yule ni fala kitambo.ugopa watu waliokulia familia fukara kupitiliza ni wako hivyo
Ni kweli, head wa department ninayofanyia kazi katokea familia hizo, jamaa ni limbukeni sijapata ona. And yeye kazi yake kubwa ni kujipendekeza kwa mabosi na kuwaonesha flani and flani hawafanyi kazi
 
Yaani ndivyo walivyo
 
Mbona mie umenisahau [emoji872][emoji872]
 
Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu

Napenda kuwaasa wanakujwaa la JF kupendekeza majina ya wadau hasa vijana vichwa walio nje ya Nchi ambao wanaweza kuwa na manufaa makubwa kwa taifa la Tanzania. Naomba majina 10 tu ya vijana walio na nafasi kubwa nchi za nje na wenye uwezo mkubwa ambao wanaweza kuchangia katika maendeleo ya haraka. Elimu, Uchumi, Teknolojia, Tiba na Kilimo

Mmi kwa Upande Wangu wakwanza kabisa, nampendekeza

1. Hasan Saudin (US-Blogger) kwa wana mitandao, huyu Jamaa ni kichwa haswaa. Huyu kijana siyo wa kawaida. Huyu ndio mtu pekee aliyeweza kumdhibiti Kijana mmoja aliyetusumbua sana kwenye mitandao ambaye anafanya kazi kwenye taasisi za fedha huko Marekani (Bank of America) kama sikosei. Mwana Bloga Michuzi anaweza kutusaidia kupata jina lake au LEMUTUZZ. Hassan kama sikosei ni mchumi na anafanya kazi na State ya Georgia nchini Marekani kama Mchumi. Huyu kijana yuko vizuri kichwani na michango yake yanaweza kuwa ya faida kubwa sana kwa taifa la Tanzania. Nampendekeza wakwanza Kabisa

Nitachukua majina kutona na michango yenu......
Vijana tunaoishi Norway msitujumuishe kwenye huo utopolo wenu
 
Back
Top Bottom