Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

Ngoja tuingie chinboni tutaibuka na majina
1) Godbless Lema; Pamoja na kwamba hajakaa sana nje lakini ni jembe la uhakika.

2) Tundu Antipasi Lissu; Huyu Kakaa sana Ubelgiji, katembelea nchi nyingi kama Marekani, uingereza, Kanada n.k. Huyu atatufaa kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje au waziri wa sheria. Kwa sababu amebobea katika sheria na pia ana ufahamu wa kimataifa vizuri sana zaidi ya Dr Slaa na Kabudi.

Nawakilisha.
 
Baadhi wakipunguza "ego ya natoka ng'ambo najua, wewe galasa hamna kitu" watafaa!
 
Back
Top Bottom