Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

Ni ujinga sana.
Nachukiaga sana jitu lazima litaje neno "kijana" kama ni sifa meritocratic ya uwezo wa leadership

Ukiona jitu linataja sana "ujana" ujue linaficha madhaifu yake

We dont even wanna know you goddamn age
 
elimu ya kubumba na isiyo ya kubumba unaijuaje??
malezi bora yanapimwa kwa mzani upi??maana mimi pia naweza sema hukuelelewa malezi bora,au kinyume chake sababu tu unakasirikia watu hovyo.
mkapa huyu mnayesema hakuheshimu watz akawatukana hadharani,ndio unasema amekuwa mwalimu bora wa makamba kiungozi!!!

sipendi sana chuki kwa magufuli zihusishwe na kila kitu anachofanya,mtakosa hoja ya kusimamia.
Mzee kubali tu kiuongozi Makamba Jr. kamuacha mbali sana Magufuli. Magufuli siyo kiongozi mzuri, hauhitaji kuwa Newton or Einstein kuliona hilo. Tutabishana hapa bila sababu zozote.
 
Mzee kubali tu kiuongozi Makamba Jr. kamuacha mbali sana Magufuli. Magufuli siyo kiongozi mzuri, hauhitaji kuwa Newton or Einstein kuliona hilo. Tutabishana hapa bila sababu zozote.
kila mtu ana mtizamo wake.

kama jk alikuwa kiongozi mzuri na akaona amuweke makamba alipomuweka,mimi niseme nini cha ziada tena.

wakati wengine mnamwona magufuli kiongozi asiyefaa,kuna watu kwao ni nabii.hata yesu hakumfaa kila mtu.
 
Yusuph Makamba na Magufuli nani kala pepo zaidi nchi hii?

Unajua Makamba kaupata ukuu wa mkoa mwaka gani na Magufuli kawa wazirini lini?

Ebu acheni kuongea upuuzi kwa sababu watu hawana tabia za kujikwaza.

Watoto wa Makamba wanakumbuka walivyoachwa Bukoba, wakati watoto wa Magufuli awajui maisha nje ya baba kama waziri.

Kuna watu wanapenda kujikuza tu.
Nape is an average politician his main goal is to last long in politics hiyo ndio career pekee anayoijua (silimilar to Emmanuel Nchimbi) until he makes enough savings to try something else, mengine maajaliwa. Hakuna ubaya wowote if that is the life path he has chosen and entitled to it.

Whereas January is an exceptional politician ilo halina ubishi he has leadership qualities tatizo lake he is not adaptive to Tanzania challenges yeye kama robot aliekariri leadership traits.

Halafu na kaushamba fulani which makes it wary kupewa majukumu fulani because he doesn’t show the attitudeness to move things forward.

Nafasi kuu za nchi kwa mazingira yetu azitaki mtu wa kutukuza marafiki wafanyabiashara, watoto wa vigogo kwa sababu baba zao unawajua au sijui mlikuwa majirani etc to do with his twitter nonsense, aonyeshi kama priority yake ya siasa ni kuwafanyia kitu watanzania.

Hiko ndio kinachomfanya aonekana January ni average kama wengi wao, and yet you can see there is more if he changed his attitude kwa sababu ya leadership qualities zingine unazoziona kwake.

Basically J.K was good on his tenure but we don’t want another one back again back if we are to move forward. Therefore January needs find another role model for inspiration vinginevyo apigwe bench tu in my opinion.
Good Analysis
 
Ingependeza Makamba Jr. apewe awamu ya sita, kwanza ana haiba ya Uongozi!
 

Attachments

  • jk.jpg
    jk.jpg
    301.1 KB · Views: 2
Wajasiriamali wa siasa wameona fursa ya kutumia kundi la vijana kama ngazi zao kupata keki kubwa zaidi ya nchi,na walala hoi nao wamekubali kutumika katika siasa hizo mufilisi na za kishamba.
Cha ajabu unakuta hata sio kijana,lizee kabisa na mamvi kidevu kizima 45years +

Eti "unajua sisi viongozi vijana...blah blah blah"
 
Magufuli anajiangusha mwenyewe wala sio vijana sababu

1.Angalia watu anawateua mfano kina Makonda,Gambo,Sabaya na wengineo ni vijana wasio na adabu na wanamakandokando mengi ila kwa sababu anaowateua anakuwa na makusudi maalumu wala sio uongozi mostly kumaliza upinzani ndio maana wanafanya ujinga tu

2.Vijana wazuri ambao wanateuliwa wanaishia kuonekana wabaya kwa sababu wanafuata sheria na taratibu wakati mteuaji anataka wafanye kwa mihemko na matamko ili kumfurahisha,mfano ni Ngundulile

3.Maamuzi mengi yanafanyika kinyume na taribu na sheria,kwa mtu anayejielewa hawezi kukubali kutoka huko Diaspora kuja kufanya kazi ambayo anajua hana uhakika wa kudumu nayo hata miezi kadhaa,rejea suala la kupunguza mishahara kwa matamko ya ghafla na kusema asiyetaka Aache kazi(Mfano yule Dada wa TIC aliyetumbuliwa mwanzoni kabisa kisa hachukui mshahara,huyu nadhani alitoka South Afrika.

4.Ili kujua uwezo halisi wa vijana kwanza tujenge taasisi imara na mifumo imara ya kuheshimu sheria,kanuni na taribu za ufanyaji kazi,mambo ya kusikiliza sijui Raisi atafurahi au atakasirika kwa uamuzi nitakaofanya hayapaswi kuwepo,vinginevyo tutalaumu sio vijana tu hata na wazee maana wote wanataka kumfurahisha Magufuli.
 
Jiwe ni muoga wa vijana smart anawaundia zengwe kabaki na misukule yakina mwigulu akiitukana inasema asante tusi zuri

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wapo waliokuwa diaspora na walifanya kazi katika makampuni makubwa. Lakini waliporudi nyumbani na kupata kazi walivurunda vibaya na kuanza ufisadi.
Sisi waafrika ubinfsi ni dna yetu. Wakiwa nje wanafanya vizuri kwa sababu ya mifumo iliyopo na hakuna mwanya wa rushwa. Hakuna njia ya ku shine zaidi ya kupiga kazi!
Lakini hapa nyumbani ni a different ball game!!

Hii ni Pointi Kubwa Sana.
 
Ukitumbuliwa hata ufanye maamuzi sahihi raisi akutumbue kwa hayo maamuzi kutomfurahisha, taswira yako ndani ya jamii itachafuka maana yeye ndiye atasema mabaya yako, wewe hutokuwa na nafasi ya kujja kujitetea itabidi ukae kimya. Nikuulize, Nape na Makamba ni kosa gani walilolifanya?

Kama yule jamaa wa kisarawe aliyetumbuliwa kisa kutongoza wake za watu.
 
hivi John Mashaka na professor Shayo wako wapi??lol
Huyo John Mashaka hawezi kukubali kazi za serikali. From Wallstreet to Mkuu wa wilaya sidhani.

Ila the guy is naturally talented. Ukisikia watu wenye akili za kuzaliwa ni huyu mshikaji. Nimemuona Bloomberg TV mara kadhaa. He holds a very good position bank of America kana siyo Goldman Sachs

Dr. Shayo huyo yuko Tanzania Investment Bank TIB
 
Mzee kubali tu kiuongozi Makamba Jr. kamuacha mbali sana Magufuli. Magufuli siyo kiongozi mzuri, hauhitaji kuwa Newton or Einstein kuliona hilo. Tutabishana hapa bila sababu zozote.
Jamani January Makamba kwanza yuko ndani ya Tanzania and too Mediocre compared to people like Saudin, Mashaka etc... January amebebwa na JK, na kutumia resources za serikali kujipa promo, ila kichwani ni better than Bashite but too mediocre kwa wakina Saudin.

The only brain ni BASHE........ !

January, Nape, Mwigulu, Kingwangalla, Sabaya, Bashite ndio chanzo cha vijana kuonekana hawafahi....... Bashungwa ni kama Robot fulani ZERO kabisa
 
Jamani January Makamba kwanza yuko ndani ya Tanzania and too Mediocre compared to people like Saudin, Mashaka etc... January amebebwa na JK, na kutumia resources za serikali kujipa promo, ila kichwani ni better than Bashite but too mediocre kwa wakina Saudin.

The only brain ni BASHE........ !

January, Nape, Mwigulu, Kingwangalla, Sabaya, Bashite ndio chanzo cha vijana kuonekana hawafahi....... Bashungwa ni kama Robot fulani ZERO kabisa
Ila makamba umemuonea yuko vizuri the rest umepatia,bashite and company ni vilaza
 
Mwandishi wa thread hii ni mmoja wa watu watatu waliojitaja hapa😀
Poleni sana kwa kukosa uteuzi. Ila kazi zipo nyingi sio lazima kupata uteuzi hata kulima matikiti maji ni kazi wandugu.
 
Ila makamba umemuonea yuko vizuri the rest umepatia,bashite and company ni vilaza
Bro, Nimefanya kazi na Makamba.....kwa hao matahira, yeye ni Genius lakini ukienda kwa thinkers ni mediocre !
 
Mwandishi wa thread hii ni mmoja wa watu watatu waliojitaja hapa😀
Poleni sana kwa kukosa uteuzi. Ila kazi zipo nyingi sio lazima kupata uteuzi hata kulima matikiti maji ni kazi wandugu.
Bro mimi ni mtumbuliwa NSSF na sasa mwanasiasa. Sina mahusiano na hao watu
 
Bro, Nimefanya kazi na Makamba.....kwa hao matahira, yeye ni Genius lakini ukienda kwa thinkers ni mediocre !
Sisi tunajadili hao matahira kwanza yakina bashite makamba kayazidi pakubwa
 
Back
Top Bottom