VIJANA PITIENI TAUSI PORTAL MTAKUJA KUNISHUKURU.

VIJANA PITIENI TAUSI PORTAL MTAKUJA KUNISHUKURU.

komasavaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
1,718
Reaction score
2,930
Ujumbe huu uwaendee vijana watafutaji na wawekezaji hasa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ARIDHI.

Ingia google andika Tausi portal ingia kwenye menu.Angalia sehemu imeandikwa LAND SALES🤝

Ukiingia kupitia computer utaona details nyingi kama bei ya kiwanja,ukubwa wake na plot namba.Simu haionyeshi vizuri hivyo vitu labda ramani tu.

UZI TAYARI!!!
 
Useful thread, shukrani.
watu wanataka kimasihara na stori za jaba kuombewa mafanikio na mapastor feki na stori za kusadikika.

📌📌📌Bahati mbaya kulikuwa na viwanja vya kibaha niliingia juzi nikakuta vipo wazi leo naingia tena holaaa😂😂😂😂watu wamevimanya kimyakimya.

📌watu wanachangamkia fursa sio utani.
 
Idea ambayo nimeifanya mwaka 2020 na nikaiacha kwa PC baada ya kuona haimake sense Leo naona kama inamake sense na hao jamaa 😅😅😅.
ndo ivyo mzee sema wapo slow sana na hawajapata watu wazuri wa kuwafanyia marketing.

Bado wanafanya mambo business as usual sijui ni kwa vile ni kitengo cha serikali au vp.
 
Kuna nini huko walioingia mtuambie
1739464958032.png

Jitahidi nawe upite uone kuna kitu gani
 
Ujumbe huu uwaendee vijana watafutaji na wawekezaji hasa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ARIDHI.

Ingia google andika Tausi portal ingia kwenye menu.Angalia sehemu imeandikwa LAND SALES🤝

Ukiingia kupitia computer utaona details nyingi kama bei ya kiwanja,ukubwa wake na plot namba.Simu haionyeshi vizuri hivyo vitu labda ramani tu.

UZI TAYARI!!!
Nchi tuna laana hii. Li-website lenyewe zito kama Samia.
 
Wangewekewa sheria kali wakawa active huko ili kila Mtanzania awe huru kufanya manunuzi ya ardhi
wanamasharti magumu kiaina kama huna hela ya kueleweka mfano hapo Kibaha Pangani project ukilipia 30% upfront ndani ya siku 30 usipomalizia hizo 70% za malipo yaliyobaki unanyanganywa kiwanja na hakuna refund.

Dodoma naona bei zipo resonable na wana gross period ya siku 90.
 
Back
Top Bottom