VIJANA PITIENI TAUSI PORTAL MTAKUJA KUNISHUKURU.

VIJANA PITIENI TAUSI PORTAL MTAKUJA KUNISHUKURU.

Nchi tuna laana hii. Li-website lenyewe zito kama Samia.
Ndo tumechelewa hivyo kupata maendeleo wavumilie tu🤗🤗🤗

📌📌📌Imagine ingekuwa inasimamiwa na sector binafsi.Serikali haiwezagi kufanya biashara. Huko wenye kitengo watu hawajali mnunue msinunue mishahara yao inaingia kila mwezi.
 
ndo ivyo mzee sema wapo slow sana na hawajapata watu wazuri wa kuwafanyia marketing.

Bado wanafanya mambo business as usual sijui ni kwa vile ni kitengo cha serikali au vp.
Pia hata user interface yao haiko vizuri sana kwa simu(sio responsive).
 
Pia hata user interface yao haiko vizuri sana kwa simu(sio responsive).
Nchi ngumu hii.Hawakuifanyia majaribio hiyo website yao kuona mapungufu.Nchi inahitaji kitengo cha DOGE kama USA kwa Trump🙌🙌🙌
 
Nchi ngumu hii.hawakuifanyia majaribio hiyo website yao kuona mapungufu.Nchi inahitaji kitengo cha DOGE kama USA kwa Trump🙌🙌🙌
Website za serikali huwa wanazingatia functionality tu hayo mambo ya UI hawanaga muda nayo.
 
Kabisa,ilemela mc walijitahidi na viwanja viliisha haraka mno
📌waendelee kupima na kuvipachika humo kwenye website kupunguza kujuana na vishoka,pia hii inasaidia kupanga miji na kutokomeza slams na squatters.Sijui kwanini wizara husika hailivalii njuga hili jambo🤔
 
kwa staili hiyo tutafika tumechoka balaaaa.
Kabisa, watu wanapiga pesa nyingi halafu hamna kinachofanyika cha maana, mifumo ya serikali karibia yote iko na mapungufu kibao na si kwamba watu wanashindwa kuitengeneza ikae sawa mara moja ila nadhani wanafanya hivyo ili waendelee kupiga kazi kwa lengo la kuendelea kuokota okota.
 
📌umasikini ni laaaanaaaaa!!!!
 
Lipia tangazo
Unanikosea heshima sifaninii udalali.Mzee wa Make Kayumba Great Again(MAKAGA)/St.LIKUD🙌😂

Mimi nawasaidia vijana maana wahusika wanaanzisha project na hayatangazwi na mpaka ujue lazima uwe mfukunyuku au uwe na connection🤝
 
Unanikosea heshima sifaninii udalali.Mzee wa Make Kayumba Great Again(MKGA)/St.LIKUD🙌😂

Mimi nawasaidia vijana maana wahusika wanaanzisha project na hayatangazwi na mpaka ujue lazima uwe mfukunyuku au uwe na connection🤝
I was joking mkuu Unajua nimeanza kunywa Kwa ajili ya Valentine Kesho 🤣🤣🤣🥲
 
Ndyo Raha ya JF Kuna mambo mazur mengi uko kijiwen kwenu huwezi yapata zaid ya Ngoma za mondi na mariooo
 
Back
Top Bottom