VIJANA PITIENI TAUSI PORTAL MTAKUJA KUNISHUKURU.

VIJANA PITIENI TAUSI PORTAL MTAKUJA KUNISHUKURU.

Wahuni hao Ilemela MC wana viwanja wanauza Tsh 4000 kwa sqm lakini ukienda unaambiwa VIMEISHA.
Wanauziana kwa MAELEKEZO.
 
Wahuni hao Ilemela MC wana viwanja wanauza Tsh 4000 kwa sqm lakini ukienda unaambiwa VIMEISHA.
Wanauziana kwa MAELEKEZO.
Hata kupitia kwa huu mfumo???? Ambapo kama kiwanja kipo wazi kinawekewa alama ya kijani.

USHAURI; Uwe unaingia mara kwa mara kwenye mfumo wa TAUSI PORTAL🤝

Watu wa huko hamashauri wana njaa balaaa ukiwafata physical lazima wakutengenezee namna ya kukukamua kahela ka chai.
 
Dom kuna viwanja vya makazi vya mpaka sqm 5344,safi sana, hapa 45.4M TZS imeenda kihalali. Naamini hawa jamaa walioviwahi wanaweza kuvibadilisha kuwa vya biashara pia, au nakosea?
 
Ujumbe huu uwaendee vijana watafutaji na wawekezaji hasa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ARIDHI.

Ingia google andika Tausi portal ingia kwenye menu.Angalia sehemu imeandikwa LAND SALES🤝

Ukiingia kupitia computer utaona details nyingi kama bei ya kiwanja,ukubwa wake na plot namba.Simu haionyeshi vizuri hivyo vitu labda ramani tu.

UZI TAYARI!!!
MBONA BEI YA VIWANJA NI KUBWA?
 
Back
Top Bottom