watu wanataka kimasihara na stori za jaba kuombewa mafanikio na mapastor feki na stori za kusadikika.Useful thread, shukrani.
📌kama una NIN( NIDA IDENTIFICATION NAMBA) NA TIN NAMBA MCHEZO UMEISHA.Napata tabu sana kutengeneza hii account...... muongozo tafadhali
ndo ivyo mzee sema wapo slow sana na hawajapata watu wazuri wa kuwafanyia marketing.Idea ambayo nimeifanya mwaka 2020 na nikaiacha kwa PC baada ya kuona haimake sense Leo naona kama inamake sense na hao jamaa 😅😅😅.
📌Halimashauri zimelala balaaaaNina account huko viwanja vipo ila halmashauri chache zimeweka
Kuna nini huko walioingia mtuambie
Wangewekewa sheria kali wakawa active huko ili kila Mtanzania awe huru kufanya manunuzi ya ardhi📌Halimashauri zimelala balaaaa
Kupitia huu mfumo vishoka na matapeli wangeweza kukomeshwa na kutoweka.
Nchi tuna laana hii. Li-website lenyewe zito kama Samia.Ujumbe huu uwaendee vijana watafutaji na wawekezaji hasa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ARIDHI.
Ingia google andika Tausi portal ingia kwenye menu.Angalia sehemu imeandikwa LAND SALES🤝
Ukiingia kupitia computer utaona details nyingi kama bei ya kiwanja,ukubwa wake na plot namba.Simu haionyeshi vizuri hivyo vitu labda ramani tu.
UZI TAYARI!!!
wanamasharti magumu kiaina kama huna hela ya kueleweka mfano hapo Kibaha Pangani project ukilipia 30% upfront ndani ya siku 30 usipomalizia hizo 70% za malipo yaliyobaki unanyanganywa kiwanja na hakuna refund.Wangewekewa sheria kali wakawa active huko ili kila Mtanzania awe huru kufanya manunuzi ya ardhi
Tumia computer simu itakusumbua.Ukishaona kiwanja kwenye ramani kiselect then utaona taarifa za hicho kiwanja kwenye upande wa screen yako.Gharama ya plot unaionaje?