VIJANA PITIENI TAUSI PORTAL MTAKUJA KUNISHUKURU.

Wahuni hao Ilemela MC wana viwanja wanauza Tsh 4000 kwa sqm lakini ukienda unaambiwa VIMEISHA.
Wanauziana kwa MAELEKEZO.
 
Wewe jamaa una roho nzuri sana.
 
Wahuni hao Ilemela MC wana viwanja wanauza Tsh 4000 kwa sqm lakini ukienda unaambiwa VIMEISHA.
Wanauziana kwa MAELEKEZO.
Hata kupitia kwa huu mfumo???? Ambapo kama kiwanja kipo wazi kinawekewa alama ya kijani.

USHAURI; Uwe unaingia mara kwa mara kwenye mfumo wa TAUSI PORTAL๐Ÿค

Watu wa huko hamashauri wana njaa balaaa ukiwafata physical lazima wakutengenezee namna ya kukukamua kahela ka chai.
 
Dom kuna viwanja vya makazi vya mpaka sqm 5344,safi sana, hapa 45.4M TZS imeenda kihalali. Naamini hawa jamaa walioviwahi wanaweza kuvibadilisha kuwa vya biashara pia, au nakosea?
 
MBONA BEI YA VIWANJA NI KUBWA?
 
Asante lakini nimeamua kuirudia rasmi na nimeshaiwekea features kadhaa ambazo zinaifanya iwe more powerful than other systems zenye mlengo wa namna hii ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Sawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ