Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #61
Hii post ingekua ni kitabu kingekua na pages zisizopungua 30
mtu yoyote unaweza kutapeliwa. wanatapeliwa cartels sembuse sie 😃..au hukuwahi kusikia mkasa wa mnaija aliwatapeli wazee wa kimexican. wakahangaika naye miaka. siku waliyokuja kumnasa walimbanika laivu kama nyama mbichi mpaka anakufa.Ikiwa mtibeli anaingizwa mjini means the game is not easy .
Vijana tu kazi kweli kweli.
Any ways... MITANO TENA KWA KISHINDO!
NAPENDA! na nipo radhi nihonge dunia nyie wengine mkaishi hata kwenye jua huko!
Jaribu mkuu tujifunze kama tulivyo jifunza Kwa taikon wa fasihi. KESI yake ilikaajekumtaja soo
maana alinihadithia na nilimsaidia siku ya kumdaka mtuhumiwa. yumo humu. pia mimi sio mhadithiaji mzuri kwa mtiririko.
Vijana wengi tunachelewa kufanikiwa kwasababu ya UAMINIFU.
Ni sahihi. Uaminifu ni kitu muhimu sana na wengi hawajui hilo.Mkûu Asilimia 95% Vijana siô Waaminifu
Hao 5% waliobaki àmbao NI waaminifu siô ajabu 2.5‰ wavivu na wachagua Kazi. Hiyo 2.5% iliyobaki ndîo Vijana Wazuri
Sema don't make generalization kuna watu tunapambana Sana kuseti standard katika hard working and being honest.
Vijana waaminifu wapo mkuu japo sio wengi.
Hicho kisa kimenisikitisha Sana.
Pole sana ndugu yangu vijana wengi sana wamewafungia njia vijana wenzao kwa kukosa uaminifuHapo Hakuna Stori Mkûu.
Hata flow tuu inaweza kukuonyesha kuwa siô Stori ya kubuni
Mzee Taikoni umenikumbusha niliwaambia vijana wangu sitaki kabisa mambo ya kuombana msamaha. Kama huwezi kazi sepa kwa sababu hatujafunga ndoa. Yaani kila mara ni kuombana msamaha.Alafu wepesi kuomba Msamaha.
Kwa kweli Mtu àmbaye NI mwepesi kuomba Msamaha Mimi namchukuliaga Kwa tahadhari sana
Watu wenye mabasi hasa hizi daladala hawapati hela kama madereva na makondakta wao.Uaminifu kwa mtanzania sahau.
Ni wakuhurumia sana wamiliki was vyombo vya moto kama Mabasi, malori, taxi, boda boda nk.
In short mtanzania si wa kumpa kazi.
Uaminifu zero na wizi ni kipaumbele.
Shughuli yoyote na mtanzania lazima ife tu!
Mzee Taikoni umenikumbusha niliwaambia vijana wangu sitaki kabisa mambo ya kuombana msamaha. Kama huwezi kazi sepa kwa sababu hatujafunga ndoa. Yaani kila mara ni kuombana msamaha.
Msiwaamini watu weupe. Awe ni Muindi, Mzungu, Mwarabu.
Wezi wote hawa.
Pole sana ndugu yangu vijana wengi sana wamewafungia njia vijana wenzao kwa kukosa uaminifu
Naomba nikushaul endelea kufungua njia kwa vijana wengine huyo kibaka mmoja asikufanye ushindwe kuokoa jahazi kwa vijana wengine waaminifu
Msijifiche Nyuma ya maneno haya ya Maprofesa na Viongozi wengine kuwasema Watanzania vibaya.
Mmjekitia sana kuondoa Uamninifu wa Mtanzania
Nyie ni Watu wabaya sana katika Jamii hii ya Watanzania.
Mkemewe na Mlaaniwe
Nonetheless, siwezi kuwaamini hawa Wawekezaji wa Kizungu na hizi Propaganda zao.
========
Hivi ni lini mkaleta Nyuzi chanya juu ya "Mwafrika" mtu mweusi kama itawapendeza? hapa Jamiiforums?