Vijana sio waaminifu. Nusura niingie JELA. Sitakuja kumdhamini Mtu walahi

Vijana sio waaminifu. Nusura niingie JELA. Sitakuja kumdhamini Mtu walahi

Ikiwa mtibeli anaingizwa mjini means the game is not easy .
mtu yoyote unaweza kutapeliwa. wanatapeliwa cartels sembuse sie 😃..au hukuwahi kusikia mkasa wa mnaija aliwatapeli wazee wa kimexican. wakahangaika naye miaka. siku waliyokuja kumnasa walimbanika laivu kama nyama mbichi mpaka anakufa.
 
kumtaja soo
maana alinihadithia na nilimsaidia siku ya kumdaka mtuhumiwa. yumo humu. pia mimi sio mhadithiaji mzuri kwa mtiririko.
Jaribu mkuu tujifunze kama tulivyo jifunza Kwa taikon wa fasihi. KESI yake ilikaaje
 
Sema don't make generalization kuna watu tunapambana Sana kuseti standard katika hard working and being honest.

Vijana waaminifu wapo mkuu japo sio wengi.

Hicho kisa kimenisikitisha Sana.

Uaminifu kwa mtanzania sahau.

Ni wakuhurumia sana wamiliki wa vyombo vya moto kama Mabasi, malori, taxi, boda boda nk.

In short mtanzania si wa kumpa kazi.

Uaminifu zero na wizi ni kipaumbele.

Shughuli yoyote na mtanzania lazima ife tu!
 
Hapo Hakuna Stori Mkûu.

Hata flow tuu inaweza kukuonyesha kuwa siô Stori ya kubuni
Pole sana ndugu yangu vijana wengi sana wamewafungia njia vijana wenzao kwa kukosa uaminifu

Naomba nikushaul endelea kufungua njia kwa vijana wengine huyo kibaka mmoja asikufanye ushindwe kuokoa jahazi kwa vijana wengine waaminifu
 
Msijifiche Nyuma ya maneno haya ya Maprofesa na Viongozi wengine kuwasema Watanzania vibaya.

Mmjekitia sana kuondoa Uamninifu wa Mtanzania

Nyie ni Watu wabaya sana katika Jamii hii ya Watanzania.

Mkemewe na Mlaaniwe

Nonetheless, siwezi kuwaamini hawa Wawekezaji wa Kizungu na hizi Propaganda zao.

========

Hivi ni lini mkaleta Nyuzi chanya juu ya "Mwafrika" mtu mweusi kama itawapendeza? hapa Jamiiforums?
 
https://www.jamiiforums.com/

================

Si ajabu mama zenu wanakata viuno kila wakisikia midundo ya ngoma za watu wenye Ngozi nyeusi. Itoshe Labda mimba za mama zenu wote , ambao wana laana, mimba zilitunga wakisikiliza nyimbo za "wenye ngozi nyeusi"
😂😂😂😂😂😂

JamiiForums is now a Home of Bigoted, Racist Twaats.
 
Alafu wepesi kuomba Msamaha.
Kwa kweli Mtu àmbaye NI mwepesi kuomba Msamaha Mimi namchukuliaga Kwa tahadhari sana
Mzee Taikoni umenikumbusha niliwaambia vijana wangu sitaki kabisa mambo ya kuombana msamaha. Kama huwezi kazi sepa kwa sababu hatujafunga ndoa. Yaani kila mara ni kuombana msamaha.
 
Uaminifu kwa mtanzania sahau.

Ni wakuhurumia sana wamiliki was vyombo vya moto kama Mabasi, malori, taxi, boda boda nk.

In short mtanzania si wa kumpa kazi.

Uaminifu zero na wizi ni kipaumbele.

Shughuli yoyote na mtanzania lazima ife tu!
Watu wenye mabasi hasa hizi daladala hawapati hela kama madereva na makondakta wao.
 
Mzee Taikoni umenikumbusha niliwaambia vijana wangu sitaki kabisa mambo ya kuombana msamaha. Kama huwezi kazi sepa kwa sababu hatujafunga ndoa. Yaani kila mara ni kuombana msamaha.

Mtu anafanya makusudi alafu anajua atasema Sorry. Alafu kuna ule msemo "hakika Mimi binadamu si mkamilifu" ukisikia Mtu anatumia Misemo ya namna hiyo kama naye Mbali
 
Pole sana ndugu yangu vijana wengi sana wamewafungia njia vijana wenzao kwa kukosa uaminifu

Naomba nikushaul endelea kufungua njia kwa vijana wengine huyo kibaka mmoja asikufanye ushindwe kuokoa jahazi kwa vijana wengine waaminifu

Mkûu unajua Ile Hali umeamka na Amani na ratiba zako alafu unashangaa unapewa Ratiba ngumu àmbayo ukileta mchezo inakupeleka JELA. Na kîla kitu kinaweza kubadilika kutokea hapo
 
Msijifiche Nyuma ya maneno haya ya Maprofesa na Viongozi wengine kuwasema Watanzania vibaya.

Mmjekitia sana kuondoa Uamninifu wa Mtanzania

Nyie ni Watu wabaya sana katika Jamii hii ya Watanzania.

Mkemewe na Mlaaniwe

Nonetheless, siwezi kuwaamini hawa Wawekezaji wa Kizungu na hizi Propaganda zao.

========

Hivi ni lini mkaleta Nyuzi chanya juu ya "Mwafrika" mtu mweusi kama itawapendeza? hapa Jamiiforums?

Mkûu Wàpo waafrika waaminifu lakini wachache Sana.
Ndîo maana hata serikali zetu viongozi wake hutumika kama vibaraka
 
Back
Top Bottom