Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

MD haiwez kua kama education mkuu
Kinachowavutia vijana kusoma MD ni kufanya PV examination na kuzalisha baaaasi! yaani "kunawa" mambo mingine yote yanawakera.
 
Kinachowavutia vijana kusoma MD ni kufanya PV examination na kuzalisha baaaasi! yaani "kunawa" mambo mingine yote yanawakera.

Kwani kuzalisha hata tabibu msaidizi,manesi wanafanya mkuu.....


Minaona maslahi ni madogo ndio maana mtu anaona aangalie ustaarabu mwengine tuu

Haiwezekani MD ukamlipa laki5
 
Hutaki acha..wenzako watauchukua...naona huzijui hospital private za bongo wewe..ndio mana nakuuliza upo bongo au wewe ni diaspora.


#MaendeleoHayanaChama

[emoji849][emoji849][emoji849]....Ni hatari
 
Mtu mwenye diploma ya marketing anaweza soma bachela ya pharmacy?
 
Mininachoona vijana wengi wanaacha tu kufanya hizo kazi za udaktari na kuingia kwenye biashara nyengine Sababu ya maslahi ni madogo upande wa udaktari lakini sio kua kazi hakuna
Umepatia sana mkuu.

Cha muhimu mkono uende kinywani.
 
Labda kama matokeo yake ya form six Pcb yapo fresh tofauti na hapo kama hana diploma ya pharmacy HAWEZI KUSOMA
Kuna watu wanasoma course za kawaida na wanavuta mpunga WA maana kabisa tofauti na madr
 
Kuna watu wanasoma course za kawaida na wanavuta mpunga WA maana kabisa tofauti na madr

Ndio ni kweli......na vijana wengi wanasoma udaktari kwa expectation mbili kwanza status yan kuitwa docta halafu pia wanadhani ukiwa docta ushakua tajir....sasa wakishasoma wakiwa chuoni au wakimaliza ndio wanaona kumbe maslahi ni madogo kulingana na majukumu yao ya kazi sasa hapo ndipo wengi wanaona bora wafanye mambo mengine tuu yatakayowapa pesa...

Hapo ndio wengine wanaacha chuo,,,na wengine wanaweka vyeti kabatini
 
Haviwezi kuwa sawa na havitakaa viwe sawa.
Kwa maana ya upatikanaji wa ajira, huwezi kusema haitakaa viwe sawa..maana its all about demand and supply, miaka ya nyuma kidogo 2010 kurudi nyuma ukimaliza MD ni hot cake, sasa nashangaa saivi watu wanavyosema hapa kuna MDs wanalipwa hadi laki 5! Yaan wako saturated kiasi hiko ndio nashangaa...
 

mimi nadhani labda wanawazungumzia clinical Officer ndio hua wanalipwa pesa hizo

Lakini MD...6 years mh sitaki kuamini hili
 
Hata kama kuna mabadiliko ila Bado huwezi linganisha takwimu ya walimu na madaktari mtaani..
Mshahara haujawahi kutosha na hautakaa utoshe.
 
Umeongea kama Bwana Afya👍👍
 
Naimani hawa wanawazungumzia ma-clinical Officers
Vijana wetu tu wafundishe somo la namna ya kufikiria ( critical thinking) ili wajifunze kutokana na makosa ya wengine Badala ya makosa yao wenyewe. Wakati ule MD inaitwa rare professional wanafunzi walikuwa wakisomeshwa bure kabisa 100%, Leo hii watoto wetu wanadungwa deni kubwa la miaka 5 na loans board na wengine hawapati kabisaaa.

Hebu fikiria kijana Ana deni la mikopo ya miaka 5 atamaliza kulilipa lini hadi aanze kutengeneza faida? Hapo hapo unaambiwa ajira hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…