Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachowavutia vijana kusoma MD ni kufanya PV examination na kuzalisha baaaasi! yaani "kunawa" mambo mingine yote yanawakera.
Hutaki acha..wenzako watauchukua...naona huzijui hospital private za bongo wewe..ndio mana nakuuliza upo bongo au wewe ni diaspora.MD laki 3..???
Hutaki acha..wenzako watauchukua...naona huzijui hospital private za bongo wewe..ndio mana nakuuliza upo bongo au wewe ni diaspora.
#MaendeleoHayanaChama
Mtu mwenye diploma ya marketing anaweza soma bachela ya pharmacy?
Mtu mwenye diploma ya marketing anaweza soma bachela ya pharmacy?
Umepatia sana mkuu.Mininachoona vijana wengi wanaacha tu kufanya hizo kazi za udaktari na kuingia kwenye biashara nyengine Sababu ya maslahi ni madogo upande wa udaktari lakini sio kua kazi hakuna
Kuna watu wanasoma course za kawaida na wanavuta mpunga WA maana kabisa tofauti na madrLabda kama matokeo yake ya form six Pcb yapo fresh tofauti na hapo kama hana diploma ya pharmacy HAWEZI KUSOMA
Kuna watu wanasoma course za kawaida na wanavuta mpunga WA maana kabisa tofauti na madr
Haviwezi kuwa sawa na havitakaa viwe sawa.Aisee, sitaki kuamini MD imekua kama education tu.
Kwa maana ya upatikanaji wa ajira, huwezi kusema haitakaa viwe sawa..maana its all about demand and supply, miaka ya nyuma kidogo 2010 kurudi nyuma ukimaliza MD ni hot cake, sasa nashangaa saivi watu wanavyosema hapa kuna MDs wanalipwa hadi laki 5! Yaan wako saturated kiasi hiko ndio nashangaa...Haviwezi kuwa sawa na havitakaa viwe sawa.
Kwa maana ya upatikanaji wa ajira, huwezi kusema haitakaa viwe sawa..maana its all about demand and supply, miaka ya nyuma kidogo 2010 kurudi nyuma ukimaliza MD ni hot cake, sasa nashangaa saivi watu wanavyosema hapa kuna MDs wanalipwa hadi laki 5! Yaan wako saturated kiasi hiko ndio nashangaa...
Hata kama kuna mabadiliko ila Bado huwezi linganisha takwimu ya walimu na madaktari mtaani..Kwa maana ya upatikanaji wa ajira, huwezi kusema haitakaa viwe sawa..maana its all about demand and supply, miaka ya nyuma kidogo 2010 kurudi nyuma ukimaliza MD ni hot cake, sasa nashangaa saivi watu wanavyosema hapa kuna MDs wanalipwa hadi laki 5! Yaan wako saturated kiasi hiko ndio nashangaa...
Hata kama kuna mabadiliko ila Bado huwezi linganisha takwimu ya walimu na madaktari mtaani..
Mshahara haujawahi kutosha na hautakaa utoshe.
Wengi wanajiongelea tu ooh MD 500 wamegraduate chuo kimoja!Point
Wengi wanajiongelea tu ooh MD 500 wamegraduate chuo kimoja!
Tukimuuliza takwimu ametoa wapi sidhani kama atakuwa na majibu kweli maana hajui.
Labda CO,lakini eti MD Udom 500!,wakati hata 20 hawafiki!Naimani hawa wanawazungumzia ma-clinical Officers
Umeongea kama Bwana Afya👍👍Jitihada za kuboresha hali za maisha za watanzania zinaendenda sambamba na kupunguza umuhimu wa MD kwenye jamii. Watu wakizaa kwa mpango, wakala vizuri, wakavaa viatu, wakanywa maji safi, wakatumia choo, wakachanjwa, wakatii sheria za barabarani bila shuruti, wakalala kwenye net, na kupunguza utupaji ovyo wa takataka basi kiama cha madaktari (MD) kitawakuta live bila chenga, haha. Sisemi hata kidogo kwamba Madaktari sio muhimu kwenye jamii, lakini ninachokisema fursa zao za ajira zinazidi kuminywa kila siku kutokana na ukuwaji wa maendeleo ya kijamii na teknolojia ya mawasiliano duniani. Iko siku daktari aliyeko Marekani atatibu wagonjwa walioko Tanzania, lakini Nurse aliyeko Marekani hataweza kumhudumia mgonjwa aliyeko Tanzania.
Vijana wetu tu wafundishe somo la namna ya kufikiria ( critical thinking) ili wajifunze kutokana na makosa ya wengine Badala ya makosa yao wenyewe. Wakati ule MD inaitwa rare professional wanafunzi walikuwa wakisomeshwa bure kabisa 100%, Leo hii watoto wetu wanadungwa deni kubwa la miaka 5 na loans board na wengine hawapati kabisaaa.Naimani hawa wanawazungumzia ma-clinical Officers