Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Nakuunga mkono mkuu
 
Unatumia nguvu sana kuutetea unesi kwasababu ni mbovu, ungekuwa ni mzuri kusingekuwa na sababu ya kuanzisha thread kuusifia, ungejisifia wenyewe tu. Yaani kabisa nursing ufananishe na medicine?? haupo serious
Wanaojiunga na uuguzi wanazidi kuongezeka vyuoni, wewe baki na kimanati shingoni, hata wewe ukiumwa utawakuta wauguzi shupavu wodini wakuonyeshe nini cha kufanya. Yaani hakuna profession ya afya ambayo ni Superior to one another, they need to coexist, hata hivyo market ya udaktari inazidi kupungua na ile ya uuguzi inazidi kwenda juu. Hiki ndicho ninachojaribu kuwaeleza vijana ambao wanaona prestige kuitwa Dr.

Ona sasa vijana waliohitimu udaktari ambao hawana ajira no wengi sana na November wanaingia wengine sokoni. Ona ilipotangazwa madaktari walivyo kurupuka kwenda Kenya kuchukua nafasi ya waliogoma kule. Ile ni aibu kwa udaktari duniani. Kama ungekuwa profession adimu tusingeona aibu Ile
 

Nikusahihishe mkuu.Kabla ya makato daktari ana 1,480,000 wakati nurse and 980,000

Hii tofauti kwako ni ndogo?Maana laki tano ni mshahara wa mtu kabisa

Kipato cha ziada cha nurse ni nini kama sio part time?

Mimi nadhani mtu akasome nursing kwa sababu anapenda ila ukilinganisha kazi na maslahi,atajila
 
Wakati wewe unasoma mwaka wa tano na intern muuguzi kashaajiriwa, ili daktari awe na thamani lazima aende tena miaka 4 MMed, we huoni kuwa huwa hivyo 500000 haifanani na mahangaiko take? Na mahangaiko yake lazima yaanzie shule ya msingi na sekondari asome PCB na kufaulu sana lakini baadae laki 50000 tu tofauti.

Muuguzi ana muda wa kufuga kuku na kuuza gege wakati wengine wanahangaika kwenye viosk kuongeza kipato.
 
Stori kama hizi muwe mnaongea mnapokutana nyie wauguzi kwa wauguzi, kaandae pack ya C/S huko mwanaume nikafanye kazi, nakupa order unatekeleza, wew huwezi kuthubutu kunipa mimi order. Eti nursing ni bora kuliko medicine... duuuh
 
Haha waendelee kugoogle...ila wawe wanajua pharmacokinetics na pharmacody amics
 
Hakuna muuguzi anaejielewa anaeweza kutoa pumba kama hizi. Pote duniani hili suala linaeleweka wala hamna haja ya mjadala.
 
Jamaa unajifariji tu kwa kweli yani mtu apate chance mbili MD au Nursing afu eti useme aende nursing hahaha huyo akapimwe, Nurse wenyewe tu mnaona aibu ata kutaja izo tittle zenu in Public Of course zimekaa kidada sana ni kama leo Mtu anesoma Mambo za secretary au Records afu ni Me, How do u feel, Mugabe aliwahi kusema if your Course has many cute ladies then you are studying useless program. Nursing class unakuta Product ya wanaume ndio idadi ya girls.

Hey young boy don't u feel shy to tell ur friends Doctors, Engineers, Lawyers, Accountants that you are a nurse mana kitaa uko kwa wajinga wajinga Kuna muda mnajifisha viatu vya udaktari
 
Kwani wewe ni Mtanzania kweli?? Sina imani na huo uandishi
 
Stori kama hizi muwe mnaongea mnapokutana nyie wauguzi kwa wauguzi, kaandae pack ya C/S huko mwanaume nikafanye kazi, nakupa order unatekeleza, wew huwezi kuthubutu kunipa mimi order. Eti nursing ni bora kuliko medicine... duuuh
uko sahihi ila hujui kujieleza
 
Mmmmh you are talking about the past. Pole pole mtaelewa
 
Nursing INA fursa nyingi zaidi. Kuna jamaa mmoja ana diploma tu ya NURSING ila maisha anayoishi MD hafuati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…