Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Nursing INA fursa nyingi zaidi. Kuna jamaa mmoja ana diploma tu ya NURSING ila maisha anayoishi MD hafuati
Ukiangalia kwa upeo huo huwezi make conclusion kwa sababu hujui mishe mishe anazofanya nje ya kazi yake...., kinachozungumzwa hapa na mleta mada ni kuwa nursing iko juu kwa sasa kuliko udaktari [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiki kitu hakiji kutokea hata siku moja,,, kwanza nurse huwa wanawaona ma Dr kama viongozi wao na huwa wanapokea order tuu ni mwendo wa kuambiwa weka canula hapa speed to maximum and you follow,,Na huo ndo utaratibu
 
Nursing INA nafasi nyingi za ajira, maana waweza kuta Hosp moja madaktari wanahtaji 10 ila nursing zaidi ya 50. Ina wigo mkubwa wa ajira, half kutumwa canulla haimaanishi ni fani ya kinyonge. Daraja LA mshahara ni almost the same
 
Nioneshe nursing officer asie na kazi nikuletee MD anaeishi kwa laki nne kwa kufundisha chuo cha diploma


MD sifa nyingi ila njaa kali
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kweli kabisaa mkuu tatizo vijana wakiwa shule wanakuwa na matarajio makubwa saaana.
 
MD imepungua thamani yake sana miaka hii.

Nursing inazidi kupamba moto maana wahitimu ni wachache sana.

Kikubwa watu waheshimiane tu na kazi ziendelee
 
Nioneshe nursing officer asie na kazi nikuletee MD anaeishi kwa laki nne kwa kufundisha chuo cha diploma


MD sifa nyingi ila njaa kali
Ukiona anafundisha ujue hiko ni kijiwe na atakuwa na hospital kama mbili ambazo anafanya kazi

NB:nionyeshe nurse mwenye vijiwe vingi kuliko Dr
 

Kaka kwa sasa hio hali ya nurse kumuona doctor/Amo/CO kama kiongozi haipo tena...
(Nursing is distinctly from medicine)

Nursing kwa sasa ni professional inayojitegemea kabisa lakini wakati wa kumsaidia mgonjwa ndio they work as a team na kila mtu atafanya kazi yake ...kwa mfano doctor atafanya medical diagnosis nurse pia atafanya nursing diagnosis
#nurse kiongozi wake kwenye hospital anaitwa nursing director ambae ni nurse pia
#profesional zingine kama physician(md),lab technologist,& pharmacist wote wako chini ya medical director....kiasi flani utakua umelewa kidogo.
 
Nursing INA nafasi nyingi za ajira, maana waweza kuta Hosp moja madaktari wanahtaji 10 ila nursing zaidi ya 50. Ina wigo mkubwa wa ajira, half kutumwa canulla haimaanishi ni fani ya kinyonge. Daraja LA mshahara ni almost the same

http://www.tamisemi.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/AJIRA ZA AFYA-pdf-compressed.pdf
#io link ni mfano tosha ni watu gan I wanaitajika kwa wingi....ajira zilizotoka mwaka huu
Nurses level zote wapo 2000 na points
Pharmacist level zote wapo 300...mia 3
Lab technologist __//_______200...mia2
Medical doctor hawafik 200..mia2
Clinical officers/clinical assistant...1600 na points.
Pia fungua link uangalie
 
Nurses wasiku izi wanashule awapelekeshwi kama nurses Wa zamani
 
 
Hakuna nurse mwenye shule kumzidi Daktari msidanganyane nyie manesi mnapokutana kwenye vijiwe vyenu vya kahawa huko..
Haiji kutokea mkuu nurse kuwa na shule kumzidi Dr... Hawa watu wanabisha vitu wasivyojua ama kwa kuwa huwa wanakaa na client mda mwingi basi wanahisi kila anachofanya nurse ni maamuzi yake totally wrong...., Nurse unaemwona anajua ni vile anaona Specialist au prof anafanya then nayeye Ana copy in long time experience..., lakini ikija swala la pathophysiology ha ha ha haaaa utamsikia sisi huwa tunawapatia hii tuu na hii hatuwapi
 
Nurses wasiku izi wanashule awapelekeshwi kama nurses Wa zamani
Huu ubishan si mzur kwa kuwa nurses na Dr huwa wanatoa huduma kwa Jamii,, Nurse Ana shule kwa level yake lakini si kiwango cha kulinganishwa na Dr,,,, Dr anaweza kufanya kazi zote anazofanya nurse Lakin kinyume chake tunaweza Pata maajabu
 
We give order & must be adhered too,
 
Order kama zipi mkuu?
Kipi apewe kipi asipewe,, kipi nurse afanye & in any changes nurse afanye nn anapo mu alert Dr... These aren't order? Isn't your responsibility? Me naona tuwaache vijana wanaotaka kusoma wasome wanachopenda na sio kuwadanganya kuwa akisoma fani fulan atakuwa secured
 
Fact. Lakini wapo wauguzi wa degree wa hovyo bora hao wa certificate na diploma and vice versa. Na kwa madaktari vivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…