Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Kozi zilizojaa dhiki na mteso.

#MaendeleoHayanaChama
Usimlazimishe mwanao asome kozi hizi kozi za Afya kwa sifa tu ukidhani muziki ni uhuni, focus sasa hivi ni kozi za kujiajiri Badala ya kuajiliwa. MD ya kuvaa manati shingoni na ajira inakusubiria ilikuwa zamani not now. Kwanini mtoto wako asome miaka 6 kozi ambazo mishahara haizidi 1.4m kwa mwezi? Hapo hapo anatakiwa kulipa deni la maboom aliyofakamia kwa miaka 5 ya kusoma. Hata anaeuza chips kando ya barabara anamzidi mbali sana, achilia mbali anaeimba hata nyimbo za injili.

Jamii amkeni amkeni amkeni mnawe Maji usoni. MD ni zamani zileeeee za Prof. Shaba na wenzake. Sio kama wasisome lakini mtoto ajue kuwa it is no longer a rare profession as it was.
 
Kazi kweli kweli..

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi ni daktari....na nimefanya kazi nje ya Tanzania.....najua naongea nini
Wivu wa nini mwanangu? Kusoma MD siku ni just DDD tu kwenye physics, biology And chemistry. Tembelea vyuo vya Afya ukaone namna madara ya MD na Clinical Officers yalivyoajaa kupita kiasi. Wanafunzi wanasomea kwenye kumbi za mikutano sio madarasa. Hawana walimu wenye sifa,hawana sehemu ya kufanyia mazoezi, hawana maabara za kutosha, hawana cadavers za kutosha, ni theory zaidi. Joto darasani ndo usiseme, wanaiba na kuibia mitihani, walimu wanatunga mcqs kukwepa kazi ya kusahihisha na wahitimu hawaivi ipasavyo.

Wallah mimi na kwambia wauguzi ndio wanaoponya wagonjwa wasiuawe na madakatari wa siku hizi. Manesi bado wanafundishwa vya kutosha kwenye kozi zao. Labda kwakuwa idadi yao sio kubwa vyuoni.

Mwite kijana aliyemaliza MD udom atafute mishipa kwa mgonjwa, utatamani umtie vibao akalale
 
Tatizo una inferiority complex wewe nesi wa kiume.....niambie medical school gani duniani(mind you sijasoma Tanzania) wanafundisha daktari kufanya cannulation.....hizo kazi ndogo ndogo za mikono madaktari hujifunza wodini duniani kote hata mfagizi anaweza kujifunza...

Hahaha......kwa hiyo kumuassist daktari kutafuta mshipa unajiona unajua. Bro...tatizo tu vijana wa kitanzania waoga wa kujiongeza.....daktari akishuka tu hapo kusini mwa Afrika na kujipatia leseni yake hata mbunge haoni ndani huo mshahara...
 
Inferiority ndo nini hicho tena. Darasa moja (cohort) mnapokuwa 400 chuo kimoja kwenye mji wenye vyuo vikuu vikuu 5 vya afya Na vyuo vidogo 10 vya clinical officers hata kupima pressure watajifunzia wapi? Wanafunzi wengi kuliko wagonjwa. Jirembe tu Na manati yako shingoni kujifurahisha.
 
Usijitoe ufahamu.....lini wanafunzi wamezidi wagonjwa....
Kwa kijana mwenye kichwa kizuri bado best option ni medicine au labda pharmacy......nursing hii ya kupangusa madirisha na kusafisha kinyesi...hell no !
 
Tatizo una inferiority complex wewe nesi wa kiume.....niambie medical school gani duniani(mind you sijasoma Tanzania) wanafundisha daktari kufanya cannulation.....hizo kazi ndogo ndogo za mikono madaktari hujifunza wodini duniani kote hata mfagizi anaweza kujifunza...

Hahaha......kwa hiyo kumuassist daktari kutafuta mshipa unajiona unajua. Bro...tatizo tu vijana wa kitanzania waoga wa kujiongeza.....daktari akishuka tu hapo kusini mwa Afrika na kujipatia leseni yake hata mbunge haoni ndani huo mshahara...
Hii agenda hatafutwi mshindi, mshindi tayari yupo ni mgonjwa. Huu Uzi ni kwa wale tu ambao hawajaamua wasome wawe nani Na jamii ambayo INA mawazo potofu juu ya kozi za afya.
 
Ndio maana nasema bado medicine ni best option kwa Tanzania hata huko nchi za nje.....huwezi hata kidogo kufananisha fursa za daktari na nesi......tungejiuliza kuhusu medicine vs pharmacy ila sio nursing abadani.

Nursing ni option ya mwisho kabisa kwenye kada za afya kwa sababu nyingi sana.

Usiwadanganye vijana
 
Tatizo una inferiority complex wewe nesi wa kiume.....niambie medical school gani duniani(mind you sijasoma Tanzania) wanafundisha daktari kufanya cannulation.....hizo kazi ndogo ndogo za mikono madaktari hujifunza wodini duniani kote hata mfagizi anaweza kujifunza...

Hahaha......kwa hiyo kumuassist daktari kutafuta mshipa unajiona unajua. Bro...tatizo tu vijana wa kitanzania waoga wa kujiongeza.....daktari akishuka tu hapo kusini mwa Afrika na kujipatia leseni yake hata mbunge haoni ndani huo mshahara...
Ona sasa unavyokosa integration. Nini maana ya kufundishwa gross anatomy? Nini maana ya kufanya dissection kwa cadaver? Nini maana ya kusoma upper limbs and lower limbals, kwanini ufundishwe carpal tunnel syndrome, cubital fossa, Na veination, kwanini ufundishwe fluid tonicity kama sio Kazi yako, kwanini ujue ICF Na ECF, kwanini ufundishwe hivyo vyote kama huwezi kuweka cannula au iv fluid. Maana sio wote watafanya surgery lakini wote mnadisect. Udaktari umeshuka kubali tu.

Wewe uliyesoma anatomy Na kufanya dissection ndiye unapaswa kuwa Fundi wa mishipa ilipo
 
Oops what a waste.....kwa hiyo main purpose ya kusoma Anatomy ni kufanya cannulation....acha huo ujinga....Kujua Median cubical vein imepita wapi na kuifanyia cannulation ni vitu viwili tofauti.....hata wafagizi tu wa hospitali huko vijijini wanajua kuweka cannula bila hata elimu ya anatomy

Lakini unajua nini.....unaweza kurudia mtihani wa form 6 uende med school ili upunguze hasira ndugu
 
Endeleeni kuuana..ila nje kuna msululu wa wagonjwa unasubiri huduma..nchi zetu hizi zimajeaa akili za kupumbafubsana hata kwa wana taaluma wenyewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Endeleeni kuuana..ila nje kuna msululu wa wagonjwa unasubiri huduma..nchi zetu hizi zimajeaa akili za kupumbafubsana hata kwa wana taaluma wenyewe.

#MaendeleoHayanaChama
80℅ ya wagonjwa wa OPD wanahitaji health education Na chanjo (preventive medicine) tu basi kuwafanya wasirudi tena OPD siku nyingine. Serikali iongeze nguvu nyingi kwenye kuzuia kuliko kutibu. Tuzuie kipindupindu, malaria, ajali, obesity, early pregnancies, CAs, maternal, infant, children mortality, overpopulation, sanitation.

Ni makosa kwa serikali kuwekeza zaodi kwenye curative services (MRI, kidney, liver, hearts transplant) badala ya kuwekeza zaidi kwenye kuzuia. Kuwekeza zaidi kwenye preventive kutawafagia robo tatu ya wagonywa wa OPD Na Inpatient, hivyo kuzifagia ajira za madaktari hospitali kwa robo tatu pia. Hiki ndicho kilichotokea huko ulaya Na marekani.
 
80℅ ya wagonjwa wa OPD wanahitaji health education Na chanjo (preventive medicine) tu basi kuwafanya wasirudi tena OPD siku nyingine. Serikali iongeze nguvu nyingi kwenye kuzuia kuliko kutibu. Tuzuie kipindupindu, malaria, ajali, obesity, early pregnancies, CAs, maternal, infant, children mortality, overpopulation, sanitation. Ni makosa kwa serikali kuwekeza zaodi kwenye curative services (MRI, kidney, liver, hearts transplant) badala ya kuwekeza zaidi kwenye kuzuia. Kuwekeza zaidi kwenye preventive kutawafagia robo tatu ya wagonywa wa OPD Na Inpatient, hivyo kuzifagia ajira za madaktari hospitali kwa robo tatu pia. Hiki ndicho kilichotokea huko ulaya Na marekani.
Shida wizara imejaa watu walio kariri kukaa hospitalini kusibiri wagonjwa..ili waombe rushwa.. eti hao ndio watunga sera tunao wategemea tupambane na adui maradhi..watua ambao wanfurahia ongezeko la bajeti za dawa na ujenzi wa vituo vya afya..hii nchi tungekua mbali sana kama nguvu nyingi ingewekwezwa kwenye preventive medicine...

Tungepunguza kwa kiwango kikubwa mzigo wa magonjwa nchini..tungepunguza bajeti za dawa na vifaa tiba..tungeokoa na kuongeza uchumi wa mtu mmoja mmoja familia na taifa kwa ujumla.

We need to reform katiba wizara ya afya..tutoke kwenye curative based mindset twende kwemye preventive based mindset.

Waziri wa afya anajisifu eti kanunua MRI kila mkoa, mashine za mionzi kutibu kansa, kupandikiza moyo Na mafigo hapahapa. Hajiulizi kwanini magonjwa ya figo yanaongezeka Na ayazuieje.
 
Hopeless kabisa...hii nchi hua nafika wakati nasema imelaaniwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hopeless kabisa...hii nchi hua nafika wakati nasema imelaaniwa.

#MaendeleoHayanaChama
Wazungu waliwekeza zaidi kwenye preventive wakafuta communicable diseases zote za kizembe kama malaria Na cholera, sasa jivi wanapambana Na kufuta non communicable diseases zote. Leo hii ukifika marekani huwezi kuta foleni ya wagonjwa hospital, ukitaka kwenda hospital lazima utoe taarifa na useme unaumwa nini kwenye simu ili upewe appointment.
 
80℅ ya wagonjwa wa OPD wanahitaji health education Na chanjo (preventive medicine) tu basi kuwafanya wasirudi tena OPD siku nyingine. Serikali iongeze nguvu nyingi kwenye kuzuia kuliko kutibu. Tuzuie kipindupindu, malaria, ajali, obesity, early pregnancies, CAs, maternal, infant, children mortality, overpopulation, sanitation. Ni makosa kwa serikali kuwekeza zaodi kwenye curative services (MRI, kidney, liver, hearts transplant) badala ya kuwekeza zaidi kwenye kuzuia. Kuwekeza zaidi kwenye preventive kutawafagia robo tatu ya wagonywa wa OPD Na Inpatient, hivyo kuzifagia ajira za madaktari hospitali kwa robo tatu pia. Hiki ndicho kilichotokea huko ulaya Na marekani.
Najua ukiwa mjinga hujijui ila wanaoumia ni waliokuzunguka. Ebu nipe ushahidi wa kupungua kwa demand ya madaktari kwa asilimia 75 huko marekani na ulaya kama ulivosema.
Ninavyojua demand ya madaktari imezidi kuongezeka USA na nchi za Ulaya kama graph zinavyoonyesha hapo chini
Projected-physician-demand-and-physician-supply-for-the-United-States-of-America-from.png

Nasubiri ushahidi wako kuwa uhitaji wa madaktari marekani ulipungua baada ya kuinvest kwenye preventive medicine
 
Unachobisha kitu gani? Muhimbili tu madaktari wa meno (DDS)wanaohitimu kwa mwaka ni zaidi ya 200.
DDS hii hii au? Hahaha...Mkuu, DDS Muhimbili wanahitimu wachache tu (Mara nyingi hawafiki 100).

MD ndo wapo wengi (200+)
 
Kama hujui ni heri ukakaa kimya. daktari halisi (udaktari mama) ni physician (internal medicine) hao wengine ni branches tu. Kazi mama ya physician ni kuhangaika na magonjwa ya ndani yakiwemo communicable (malaria, tb, kaswende, chlamydia, HIV, kipindupindu, kichocho) and non communitie (kisukari, pressure) diseases. Hebu nambie, tangu ujue kutumia choo, kunawa mikono baada na choo na kabla ya kula, kulala kwenye chandarua

Wahitimu wa udom ndio worse kwenye market, why? Intake kubwa Na practical sites chache, wagonjwa wachache Na walimu wachache. Hiyo takwimu ya 500 isikuchanganye sana inaweza kushuka Na kupanda, LA muhimu ni kwamba udom inamimina sokoni ma MD kibao sokoni kila mwaka
Nakataa buloo UDOM haitai vihiyo labda Kama una issues zako tu binafsi na UDOM

UDOM wanatumia Iringa, General_DODOMA, Mirembe na BMH wameanza hivi karibuni Sasa hizo Data unatoa wapi mkuu!!
 
Back
Top Bottom