Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Uko sahihi, kuna dada nafahamiana naye.....undergraduate kasoma udsm, Masters Mzumbe.......akawa amepanga kwenda US US kufanya phD........alivyofika huko pamoja na marafiki zake wakamshawishi aachane na kusoma pihechidii asomee nursing.......akaanza certificate alipomaliza akaunganisha diploma.....saizi ameajiriwa huko ni nurse.........ana Masters ya Business Administration ya Mzumbe na Course moja ya kule UDBS..........alitumia cheti cha form 4 tu
 
Zamani ilikuwa ukimaliza MD TU utapewa ajira hapohapo, nyumba nzuri, hela ya kujikimu na mkopo wa kununua gari, na wanawake njenje. Sio siku bhanaa wewe, MD wa Leo ni jobless, wanaendesha bodaboda, wanakaanga chips, wanadanga, Wana bet na walevi, no respect any more. Mama mkanye mwanao, asome MD yule TU mwenye passion ya kwelikweli ya
Hivi MD imefikia hatua hii?
 
hahahhahaha dah nimecheka sana

Lakini kuitwa Doctor kuna raha yake wazee mjue [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Halafu ukimaliza kuitwa daktari..unaomba vocha..[emoji28][emoji28]

#MaendeleoHayanaChama
 
Uko sahihi, kuna dada nafahamiana naye.....undergraduate kasoma udsm, Masters Mzumbe.......akawa amepanga kwenda US US kufanya phD........alivyofika huko pamoja na marafiki zake wakamshawishi aachane na kusoma pihechidii asomee nursing.......akaanza certificate alipomaliza akaunganisha diploma.....saizi ameajiriwa huko ni nurse.........ana Masters ya Business Administration ya Mzumbe na Course moja ya kule UDBS..........alitumia cheti cha form 4 tu
Mimi sina ugomvi na madaktari, maana naujuwa umuhimu na kazi za dk kwenye timu ya afya inayomhudumia mgonjwa, ila sintaacha kuwaambia ukweli vijana wetu ambao hawana wajuacho kuhusu hizi za afya. Wanatumia hadithi za mapokeo ya paukwa pakawa. Vijana wetu wanatumia nguvu nyingi sana hata kwa njia ya ngono na rushwa nyingine za wazazi ili kupata nafasi ya kusoma MD watoto wao.

Madarasa ya MD vyuoni yanatosha sana kwa ukubwa inayoleta changamoto za ufundishaji wa hawa watoto, hawaivi sawasawa na kumaliza bila kuwa madaktari na kushindwa hata kujiajili.
 
Wewe ndio fuata upepo wenyewe..tena usidandie treni kwa mbele hii sio level yako.....mimi naishi na kufanya nao kazi na nimekuwekea data nyie mnaongea maneno makavu.....lete ushaidi hapa
Umeleta outdated data ambazo pia umeshindwa kuzi interpret, umeona wapi Kwenye nchi nusu ya wanafunzi wawe ni wageni? Umeona wapi kwenye taifa la watu zaidi ya 300 mil vijana 5000 TU ndio wasome kozi fulani. Maana yake hiyo ni kozi iliyokataliwa. Sisi tunaandika tukiwa Marekani kukifundisha vyuo hivyo, wewe unasikia TU au ulipota huku siku chache tu
 
Kumbe kusoma MD ni useless & turn off. And that's why most of the Doctors are always lamenting and yawning on twitter for being jobless. Some of them lamenting about salaries or what they earn.
Ndo ujue kuwa ndugu zenu wanawatibu lakini usishangae wakipepesa macho kuomba rushwa ya dawa ya viatu. Wana madeni makubwa mgongoni ya miaka 6 ya kusoma udaktari kutoka Loans board. Loans board lazima walifikirie hili jambo, miaka 6 sio kidogo, kumkopoaha mtu kwa miaka sita Kwenye kozi ambayo hailipi na haina ajira ni kuwatesa vijana.
 
Wewe ni Nurse?

Hebu tuambie kwa hapa Tanzania fursa za Nursing ziko wapi.
 
Ndo ujue kuwa ndugu zenu wanawatibu lakini usishangae wakipepesa macho kuomba rushwa ya dawa ya viatu. Wana madeni makubwa mgongoni ya miaka 6 ya kusoma udaktari kutoka Loans board. Loans board lazima walifikirie hili jambo, miaka 6 sio kidogo, kumkopoaha mtu kwa miaka sita Kwenye kozi ambayo hailipi na haina ajira ni kuwatesa vijana.
But stil you have an option to employ yourself. You have to learn from lawyers. Once they are admitted as Advocate of the High Court by Chief Justice. They always live happily life kwa kupitia mihuri yao.

Self employment is better than being a slave in someone's office.
 
Hii dhana imeshapitwa na wakati, kozi zote kwa sasa hazina ajira.
 
Population haiongezeki?
emoji3.png
,kua kusoma nesi ni kazi sana kuliko kusoma MD?......sasa kwa nini vijana wanachagua kusoma MD?,kua hawajitambui?
emoji16.png
emoji16.png
70% wanasoma MD kwa pressure za wazazi wao. Jamii inachojuwa kuhusu nursing ni kidogo sana, wengi wao wanadhani unesi ni kufuta madirisha ya wodini TU na kufunga vidonda. Hwajui kuwa kufunga vidonda vikubwa ni kazi ya dk.
But stil you have an option to employ yourself. You have to learn from lawyers. Once they are admitted as Advocate of the High Court by Chief Justice. They always live happily life kwa kupitia mihuri yao.

Self employment is better than being a slave in someone's office.
Hapo ninakukubalia kabisa, shida utakayokutana nayo TU ni mtaaji na uwezo wa wagonjwa kulipia matibabu. Idadi kubwa ya wagonjwa wanajinywea dawa na kupona hukohuko mitaani. Wanasahauriwa na watu wa kawaida, wafamasia na ku google. Bima ya afya ni challenge nyingine. Hata wakianzisha hospital binafsi nawao waatatumia part-time doctors kutoka hospital kubwa badala ya kusajili wa kwao.
 
Hivi MD imefikia hatua hii?
Ulikuwa hujui? Hivi Leo ukienda hospitali huoni dk ni WA hospitali nyingine kaja TU hapo kwenye clinic fulani TU siku fulani na saa fulani? Huyo dk nae katoroka huko huko kwa mwajili wake kwaajili ya njaa anamuibia muda.
 
Aisee, sitaki kuamini MD imekua kama education tu.
 
Yes haiwezi kuwa..na haitokua kwa upande wa taaluma..ila kwa upande wa ajira..nadhani imeanza kuwa na iko mbioni kuwazidi waalimu.

#MaendeleoHayanaChama

Mininachoona vijana wengi wanaacha tu kufanya hizo kazi za udaktari na kuingia kwenye biashara nyengine Sababu ya maslahi ni madogo upande wa udaktari lakini sio kua kazi hakuna
 
Mininachoona vijana wengi wanaacha tu kufanya hizo kazi za udaktari na kuingia kwenye biashara nyengine Sababu ya maslahi ni madogo upande wa udaktari lakini sio kua kazi hakuna
Upo Tanzania au wewe ni disapora?..kimsingi overcrowding imekua kubwa..hata kazi zinazopatikana maslahi madogo sana..6 yrs mtu analipwa laki 3 tena kwa masimango.

Na madoho home wameamua wapo tu no future tena kwenye md.

MD laki 3..???
 
Back
Top Bottom