Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Siyo kwa trend hiyo anayoisema huyo.Shida sio usahihi Bali maudhui ya taarifa kuhusu trend ya udaktari nchini na duniani. Hushangai Leo ukitaka madaktari kutoka Cuba, urusi, misri, au Kenya watakuja kibao tena fasta. Ndio maana siku hizi hakuna migomo ya madaktari inayofanikiwa kuwaletea tija, labda migomo hiyo wawemo na manesi. Maana kuna kundi la MA MD linaranda huko mitaani. Kuna mwaka madaktari Kenya waligoma na kutishia kuleta madaktari wa Tanzania kufanyakazi huko, weeee vijana wetu walifurumuka kibao walifuta mavumbi vyeti vyao kuomba nafasi hizo lakini wakapigwa mkwara kukanyaga kenya kama vile walivyopigwa mkwara Botswana
Mkisema CO sawa lakini MD???
Nyie acheni kutisha vijana,
Waache wasome MD kama wana passion nayo.